Samia Suluhu baada ya kutembelea ziara Korea Kusini, wamarekani watoa uzushi

Iende
Iende kwenye maendeleo wapi wapigaji tu.Mpina kasema miradi iliyokamilika 2021 imengizwa tena kwenye mpango wa utekelezaji2024 si uwizi huu.
 
Wewe nyumbu,Misaada ya marekani Mingi ni kwenye sekta za ujinga wanazoitwa kujenga uwezo mfano Kuimarisha Demokrasia,Haki .za binadamu, ustawi wa jamii na Huduma zingine za jamii.

Ni nadra sana kutoa Msaada au Mkopo kwenye sekta za kiuchumi
 
Uliposema Marekani yupo upande wa Korea Kaskazini na kuiona Korea kusini ni manunda nimekuona ni tapeli Kama wengine
 
Wewe nyumbu,Misaada ya marekani Mingi ni kwenye sekta za ujinga wanazoitwa kujenga uwezo mfano Kuimarisha Demokrasia,Haki .za binadamu, ustawi wa jamii na Huduma zingine za jamii.

Ni nadra sana kutoa Msaada au Mkopo kwenye sekta za kiuchumi
Wewe wasema
 
Zile barabara kwa msaada wa marekani ni Nini? fedha za bure za MCC kusambaza umeme ni Nini? Au umeanza kupoteza kumbukumbu?
 
Aiseeeh! Lakini ni mkopo. Taarifa zingine ni kujifariji.
 
Zile barabara kwa msaada wa marekani ni Nini? fedha za bure za MCC kusambaza umeme ni Nini? Au umeanza kupoteza kumbukumbu?
Zilijengwa kwa.kubadikishana na maslahi ya kimkakati kama Uranium Namtumbo.

Lakini kama umeelewa vyema nimesema ikikupa Msaada wa kiuchumi Kuna return kubwa.
 
Mwambie I mwandishi asome vizuri kati ya korea kusini na korea kaskazini aache kutapa tapa kuandika asiyoyajua
 
Kwanza, unaonekana huzijui Korea zote mbili. Korea kusini hawajawahi kuwa na ugomvi na Marekani. Huo ni uongo. Mwenye kujifanyia mambo yake ni Korea kaskazini, elewa!
Kwenye hoja yako pamoja na kuweka namba ya simu hujausema upande wako na chanzo chako Cha taarifa ili VOA waonekane waongo na badala yake umekimbilia kuishambulia serikali ya Biden.
Leta ushahidi wako juu ya uongo wa VOA ili tuungane pamoja kumnyooshea kidole Cha kutoka habari za uongo na kinyume chake acha kukurupuka katika harakati za kusaka teuzi!
 
CIA hua hadanganyi hasa kwa nchi za kiafrica ila hio kitu hutaiona kwenye karatasi utaona tu watu wanafanya kazi nchini halafu siwazawa
 
Tutaamini vipi kuwa Wewe ndo uko sahihi na VOA ni wazushi!!!
Unalipi la kutufanya tuamini unachosema???
 
Kwa Africa hata yasiyowezekana yanawezekana.
 
Ningeandika. Lakini mwanasheria wangu amepata ajali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…