game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,727
- 24,840
Ndugu zangu watanzania naomba tusikubali kuona Mtanzania mwenzetu SPRIAN MSIBA mtetezi wa taifa letu dhidi ya wadhalimu wa taifa letu, akiteketea peke yake juu ya yaliyomkuta. Naomba kwa pamoja tushikamane kwa kuweza kumchangia kwa chochote kile ili tuweze kumshika mkono mtu huyu. Hiyo tumeona tuweke namba yake hiyo hapo 0655655599 ili kuhakikisha waweza kumchek moja kwa moja yeye mwenyewe pia. Unaweza kutuma pesa kwenye namba hiyo moja kwa moja. Kwa sababu kuwaacha wazalendo kama hawa wakipotea peke yao basi itakuwa ni kama kuwatia uoga wengine ambao watakuwa tayari kutetea wanyonge wengine. Hivyo kwa wale ambao walikuwa waamini wa JPM na hata wasio waamini lakini ni wazalendo wa kweli basi tushirikiane kumchangia mwenzetu kwa haya yaliyompata ili wengine nao wasije kuingia na uoga wa kuweka uzalendo wao mbele kwa kutetea taifa letu. Karibuni sana[emoji1431][emoji1431]
Yaani kabisa mtu achangie pesa yake yake ili walipwe maembe na yule mwanamke