Himidt Lengo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2018
- 389
- 370
Magu na Samia wote ni wale wale tuuSema magufuli ndo mwasisi wa kuliharibu hili taifa laiti asingezisha kugawa vyeo kama njugu kwa wasanii na waandishi wa habari na kununua wapinza na machawa tusingefika hapa
Yeye kusimamia ujenzi wa fly overs, hospitali, barabara, SGR, bwawa la umeme kubwa sana, n.k shukrani yako kwake ni kusema ameharibu Taifa ? Sawa.Sema magufuli ndo mwasisi wa kuliharibu hili taifa laiti asingezisha kugawa vyeo kama njugu kwa wasanii na waandishi wa habari na kununua wapinza na machawa tusingefika hapa
Wewe una hoja. Usikilizwe. Na ikumbukwe ni yeye pia ndiye aliye ridhia huyu mama kuwa msaidizi wake, huku akitambua fika hana uwezo wa kushika madaraka makubwa.Sema magufuli ndo mwasisi wa kuliharibu hili taifa laiti asingezisha kugawa vyeo kama njugu kwa wasanii na waandishi wa habari na kununua wapinza na machawa tusingefika hapa
Alichomekwa na genge la wahuni.Wewe una hoja. Usikilizwe. Na ikumbukwe ni yeye pia ndiye aliye ridhia huyu mama kuwa msaidizi wake, huku akitambua fika hana uwezo wa kushika madaraka makubwa.
Ingia kwenye ignore list mjinga mmojaKampeni zinajaa nyomi, vibe kubwa halafu mnasema hamumtaki, mnamtaka nani sasa? Oktoba nendeni mkatiki
Na mimi nauliza ilo ili tukamchinje maana hapa tanzania watu wajaona sura zetu kwa ukatiliHivi Mafwele anaishi wapi?
Ndio tujue sasa anaishi wapi hawezi akawa anaishi shimoni anaishi humu humu uraianiNa mimi nauliza ilo ili tukamchinje maana hapa tanzania watu wajaona sura zetu kwa ukatili
Sasa wewe na chadema wenzio 200 hv mnaomchukia Samia ndo mtupangie Cha kufanya?!! Pumbavu we, si tupo na Samia mpaka 2030Kumbuka uliwekwa hapo kwa bahati mbaya tuu baada ya kifo cha afande wetu mpendwa Amiri jeshi mkuu JPM (A.M.P) hatukuwa na mpango wa kuwa na Rais mwanamke kamwe ! Umemaliza awamu ya tano B, TOKA SASA, UNANG'ANG'ANIA NINI ?
Mwanamke kazi zake ni kufanya tendo la ndoa na mwanaume, kupata ujauzito, kuulea, kuzaa watoto na kufanya kazi nyingine ndogo ndogo tuu ila siyo hizo kubwa za uongozi, lazima ashindwe !
Ndugu Jakaya Kikwete, Rostam na wengine wanang'ang'ania uendelee kuwa Rais, ili wazidi kuiba kodi zetu wananchi, wanakutumia SHITUKA WEWE. Hawana huruma kabisa hawa wala sio wazalendo, ni wezi, mafisadi, na ni watu wa hovyo sana.
Hivi mnapoiba rasilimali za nchi, mkajinufaisha matumbo yenu na familia zenu za sasa huku watanzania wengine tukiumia ilhali tuna haki na sisi ya kufaidi mema yote ya nchi hii yetu nzuri kabisa ya Tanzania, ambayo Mwenyezi Mungu alituumba tuzaliwe humu, mnajisikiaje ?
Hivi Wewe Samia, Kikwete, Rostam na wenzenu, mnahisi mtaishi milele hamtakufa ? Kama mnajua mtakufa siku moja, kwa nini muibe na kusababisha watanzania wenzenu tuishi kwa shida pasipo sababu ? Au mkiwa makaburini mtaendelea kula hela mliyotuibia huko kaburini hamtaoza na kuliwa na mchwa ? Mkifa vizazi vyenu vijavyo na vingine vya watu wengine ambavyo itampendeza Mungu vizaliwe hapa kwa Tanzania, vitaishije ilhali mnakomba hela ya wananchi kwa maslahi yenu binafsi ? Muogopeni Mungu.
Je, watoto wenu wa kike wataolewa hapo hapo Kizimkazi, Msoga na Dar es salaam tuu n.k hawataolewa Mara, Iringa, Mtwara, Singida n.k ? Sasa wakiolewa huko na hamkupeleka maji, barabara, umeme, huduma za mawasiliano ya simu n.k wataishije maana hela yetu mnayoiba vilembwekeze na vining'ina wenu, nyie mkiwa mmeshakufa zamani zijazo hawataikuta. Ila mngefanya maendeleo ya nchi yote hii ya Tanzania, na kuwa waaminifu na kutofanya ufisadi mnaoufanya hata vizazi vijavyo vingewakumbuka kwa dhati sana.
Tunataka kupata Rais na viongozi walio chini yake ambao ni wazalendo sana tena wa dhati wenye uchungu sana na hii nchi siyo wa kuigiza na wachumia matumbo. Walete maendeleo tuwe na barabara nzuri na madaraja mazuri kama ya China, tuwe na kilimo cha kisasa cha kutum niia mashine kubwa tuwe na chakula cha kutosha na kuuza chakula cha ziada nchi za nje, tuwe na umeme wa kutosha, tuwe na viwanda vingi, tuwe na teknolojia kubwa kama ya wamarekani, tuwe na jeshi lenye vifaa vya kisasa vya gharama vizuri kulinda nchi yetu, tuwe na teknolojia kubwa kama ya wajapan, na mambo mengine mazuri, kwani sisi hatustahili kuwa na vitu vizuri ?
Ni hivi, Samia achia kiti cha urais, na jopo lako lote ulilo nalo kiuongozi TOKENI, SISI HATUWATAKI KABISA !!!!!
Kama hutoki, na unashupaza kichwa na unawasikiliza hao wapuuzi wanaokutumia ili wafanikishe na ufanikishe wizi wa raslimali zetu, Haya shupaza kichwa utapata unachokitafuta. Hicho kiti wanakalia wanaume tuu, huoni aibu kuwa Rais ukiwa mwanamke kabisa uwaongoze wanaume ? Mbona marekani wana Rais wa 47 na hakuna mwanamke aliyekaa pale na wanasema ni wanademokrasia ? Hakuna haki sawa TOKA, ACHIA KITI.
MUNGU IBARIKI TANZANIA, WABARIKI NA WATU WAKE, AMINA.
Mimi kwasasa naamini JK hakufanya ufisadi wa kutisha maana vyombo vingi vilikuwa huru ila JPM ndo aliharibu kabisaWewe una hoja. Usikilizwe. Na ikumbukwe ni yeye pia ndiye aliye ridhia huyu mama kuwa msaidizi wake, huku akitambua fika hana uwezo wa kushika madaraka makubwa.
Kwahiyo umeshaamini kuwa ni mafwele ndo amemteka?!!!🤣🤣🤣🤣Na mimi nauliza ilo ili tukamchinje maana hapa tanzania watu wajaona sura zetu kwa ukatili
Ningekushauri ubadili kichwa cha habari chako (tittle) kidogo tu, Ukismea Watanzania unatukosea, maana watanzania wapo wanaoenekana kwake bila kutumia nguvu! Ila wapo baadhi ya wanachi wa Tanzania ni kweli wanaonekana kutompenda Rais SSH, njia sahihi ya kuwajua tumia vyama vyao vya siasa na nyumba zao ibada..tumia kauli za viongozi wao ktk makundi hayo utaona kuna mgawanyiko wa wazi. Ushauri kama tunataka mabadiliko ya kweli tuache chuki na fitna.Kumbuka uliwekwa hapo kwa bahati mbaya tuu baada ya kifo cha afande wetu mpendwa Amiri jeshi mkuu JPM (A.M.P) hatukuwa na mpango wa kuwa na Rais mwanamke kamwe ! Umemaliza awamu ya tano B, TOKA SASA, UNANG'ANG'ANIA NINI ?
Mwanamke kazi zake ni kufanya tendo la ndoa na mwanaume, kupata ujauzito, kuulea, kuzaa watoto na kufanya kazi nyingine ndogo ndogo tuu ila siyo hizo kubwa za uongozi, lazima ashindwe !
Ndugu Jakaya Kikwete, Rostam na wengine wanang'ang'ania uendelee kuwa Rais, ili wazidi kuiba kodi zetu wananchi, wanakutumia SHITUKA WEWE. Hawana huruma kabisa hawa wala sio wazalendo, ni wezi, mafisadi, na ni watu wa hovyo sana.
Hivi mnapoiba rasilimali za nchi, mkajinufaisha matumbo yenu na familia zenu za sasa huku watanzania wengine tukiumia ilhali tuna haki na sisi ya kufaidi mema yote ya nchi hii yetu nzuri kabisa ya Tanzania, ambayo Mwenyezi Mungu alituumba tuzaliwe humu, mnajisikiaje ?
Hivi Wewe Samia, Kikwete, Rostam na wenzenu, mnahisi mtaishi milele hamtakufa ? Kama mnajua mtakufa siku moja, kwa nini muibe na kusababisha watanzania wenzenu tuishi kwa shida pasipo sababu ? Au mkiwa makaburini mtaendelea kula hela mliyotuibia huko kaburini hamtaoza na kuliwa na mchwa ? Mkifa vizazi vyenu vijavyo na vingine vya watu wengine ambavyo itampendeza Mungu vizaliwe hapa kwa Tanzania, vitaishije ilhali mnakomba hela ya wananchi kwa maslahi yenu binafsi ? Muogopeni Mungu.
Je, watoto wenu wa kike wataolewa hapo hapo Kizimkazi, Msoga na Dar es salaam tuu n.k hawataolewa Mara, Iringa, Mtwara, Singida n.k ? Sasa wakiolewa huko na hamkupeleka maji, barabara, umeme, huduma za mawasiliano ya simu n.k wataishije maana hela yetu mnayoiba vilembwekeze na vining'ina wenu, nyie mkiwa mmeshakufa zamani zijazo hawataikuta. Ila mngefanya maendeleo ya nchi yote hii ya Tanzania, na kuwa waaminifu na kutofanya ufisadi mnaoufanya hata vizazi vijavyo vingewakumbuka kwa dhati sana.
Tunataka kupata Rais na viongozi walio chini yake ambao ni wazalendo sana tena wa dhati wenye uchungu sana na hii nchi siyo wa kuigiza na wachumia matumbo. Walete maendeleo tuwe na barabara nzuri na madaraja mazuri kama ya China, tuwe na kilimo cha kisasa cha kutumia mashine kubwa tuwe na chakula cha kutosha na kuuza chakula cha ziada nchi za nje, tuwe na umeme wa kutosha, tuwe na viwanda vingi, tuwe na teknolojia kubwa kama ya wamarekani, tuwe na jeshi lenye vifaa vya kisasa vya gharama vizuri kulinda nchi yetu, tuwe na teknolojia kubwa kama ya wajapan, na mambo mengine mazuri, kwani sisi hatustahili kuwa na vitu vizuri ?
Ni hivi, Samia achia kiti cha urais, na jopo lako lote ulilo nalo kiuongozi TOKENI, SISI HATUWATAKI KABISA !!!!!
Kama hutoki, na unashupaza kichwa na unawasikiliza hao wapuuzi wanaokutumia ili wafanikishe na ufanikishe wizi wa raslimali zetu, Haya shupaza kichwa utapata unachokitafuta. Hicho kiti wanakalia wanaume tuu, huoni aibu kuwa Rais ukiwa mwanamke kabisa uwaongoze wanaume ? Mbona marekani wana Rais wa 47 na hakuna mwanamke aliyekaa pale na wanasema ni wanademokrasia ? Hakuna haki sawa TOKA, ACHIA KITI.
MUNGU IBARIKI TANZANIA, WABARIKI NA WATU WAKE, AMINA.
MikocheniHivi Mafwele anaishi wapi?
We si ulio juzi ukapost post mtandao X subiri na sura yako kama kipande cha mti wa karafuuKwahiyo umeshaamini kuwa ni mafwele ndo amemteka?!!!🤣🤣🤣🤣
Watanzania wengi wenu ni mafala sana aisee.
Nikweli aliboronga japo huenda yeye kwa akili yake aliona sawa kuwa kwa misimamo yake angeweza kuwanyorosha yaani asipingwe na kukwamishwa kumbe hajui anakufa keshoSema magufuli ndo mwasisi wa kuliharibu hili taifa laiti asingezisha kugawa vyeo kama njugu kwa wasanii na waandishi wa habari na kununua wapinza na machawa tusingefika hapa
na utekaji na ununuaji wapinzani kwa kuupa jina kuunga juhudi laiti angeacha demokrasia huu ufisadi uliofanyika awamu hii usinge fanyika kwa kiwango hichiYeye kusimamia ujenzi wa fly overs, hospitali, barabara, SGR, bwawa la umeme kubwa sana, n.k shukrani yako kwake ni kusema ameharibu Taifa ? Sawa.
Hao wasanii kama wana sifa na ni watanzania kwa nini wasipewe vyeo au hawastahili ?