GE2025 Samia Suluhu Hassan, achia nafasi ya Urais, sisi watanzania HATUKUTAKI

GE2025 Samia Suluhu Hassan, achia nafasi ya Urais, sisi watanzania HATUKUTAKI

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kumbuka uliwekwa hapo kwa bahati mbaya tuu baada ya kifo cha afande wetu mpendwa Amiri jeshi mkuu JPM (A.M.P) hatukuwa na mpango wa kuwa na Rais mwanamke kamwe ! Umemaliza awamu ya tano B, TOKA SASA, UNANG'ANG'ANIA NINI ?

Mwanamke kazi zake ni kufanya tendo la ndoa na mwanaume, kupata ujauzito, kuulea, kuzaa watoto na kufanya kazi nyingine ndogo ndogo tuu ila siyo hizo kubwa za uongozi, lazima ashindwe !

Ndugu Jakaya Kikwete, Rostam na wengine wanang'ang'ania uendelee kuwa Rais, ili wazidi kuiba kodi zetu wananchi, wanakutumia SHITUKA WEWE. Hawana huruma kabisa hawa wala sio wazalendo, ni wezi, mafisadi, na ni watu wa hovyo sana.

Hivi mnapoiba rasilimali za nchi, mkajinufaisha matumbo yenu na familia zenu za sasa huku watanzania wengine tukiumia ilhali tuna haki na sisi ya kufaidi mema yote ya nchi hii yetu nzuri kabisa ya Tanzania, ambayo Mwenyezi Mungu alituumba tuzaliwe humu, mnajisikiaje ?

Hivi Wewe Samia, Kikwete, Rostam na wenzenu, mnahisi mtaishi milele hamtakufa ? Kama mnajua mtakufa siku moja, kwa nini muibe na kusababisha watanzania wenzenu tuishi kwa shida pasipo sababu ? Au mkiwa makaburini mtaendelea kula hela mliyotuibia huko kaburini hamtaoza na kuliwa na mchwa ? Mkifa vizazi vyenu vijavyo na vingine vya watu wengine ambavyo itampendeza Mungu vizaliwe hapa kwa Tanzania, vitaishije ilhali mnakomba hela ya wananchi kwa maslahi yenu binafsi ? Muogopeni Mungu.

Je, watoto wenu wa kike wataolewa hapo hapo Kizimkazi, Msoga na Dar es salaam tuu n.k hawataolewa Mara, Iringa, Mtwara, Singida n.k ? Sasa wakiolewa huko na hamkupeleka maji, barabara, umeme, huduma za mawasiliano ya simu n.k wataishije maana hela yetu mnayoiba vilembwekeze na vining'ina wenu, nyie mkiwa mmeshakufa zamani zijazo hawataikuta. Ila mngefanya maendeleo ya nchi yote hii ya Tanzania, na kuwa waaminifu na kutofanya ufisadi mnaoufanya hata vizazi vijavyo vingewakumbuka kwa dhati sana.

Tunataka kupata Rais na viongozi walio chini yake ambao ni wazalendo sana tena wa dhati wenye uchungu sana na hii nchi siyo wa kuigiza na wachumia matumbo. Walete maendeleo tuwe na barabara nzuri na madaraja mazuri kama ya China, tuwe na kilimo cha kisasa cha kutumia mashine kubwa tuwe na chakula cha kutosha na kuuza chakula cha ziada nchi za nje, tuwe na umeme wa kutosha, tuwe na viwanda vingi, tuwe na teknolojia kubwa kama ya wamarekani, tuwe na jeshi lenye vifaa vya kisasa vya gharama vizuri kulinda nchi yetu, tuwe na teknolojia kubwa kama ya wajapan, na mambo mengine mazuri, kwani sisi hatustahili kuwa na vitu vizuri ?

Ni hivi, Samia achia kiti cha urais, na jopo lako lote ulilo nalo kiuongozi TOKENI, SISI HATUWATAKI KABISA !!!!!
Kama hutoki, na unashupaza kichwa na unawasikiliza hao wapuuzi wanaokutumia ili wafanikishe na ufanikishe wizi wa raslimali zetu, Haya shupaza kichwa utapata unachokitafuta. Hicho kiti wanakalia wanaume tuu, huoni aibu kuwa Rais ukiwa mwanamke kabisa uwaongoze wanaume ? Mbona marekani wana Rais wa 47 na hakuna mwanamke aliyekaa pale na wanasema ni wanademokrasia ? Hakuna haki sawa TOKA, ACHIA KITI.

MUNGU IBARIKI TANZANIA, WABARIKI NA WATU WAKE, AMINA.​
Yupo sana tu mpk Mungu mwenyewe aamue vinginevyo. Humtaki mtoe au hama nchi
 
Nikiona mwanaume mzima unashadadia Rais Samia kuwa yupo na octoba unatiki ninakuona ni punguani kabisa. Ni mjinga, hamnazo wa kiwango cha SGR. Kisa unakula na kunya, hufikirii mambo mengine zaidi ya hapo, unaona hali inayoendelea ni sawa tuu hapa nchini na unashadadia puuzi ? Ptuuuuuh !!!!
 
Nikiona mwanaume mzima unashadadia Rais Samia kuwa yupo na octoba unatiki ninakuona ni punguani kabisa. Ni mjinga, hamnazo wa kiwango cha SGR. Kisa unakula na kunya, hufikirii mambo mengine zaidi ya hapo, unaona hali inayoendelea ni sawa tuu hapa nchini na unashadadia puuzi ? Ptuuuuuh !!!!
Wewe kwani mboni sikuelewi huku upo na kule upo upo upande gani kule unakubari kinachofanyika huku unapinga kinachofanyika umekaa upande upi?
 
Wewe kwani mboni sikuelewi huku upo na kule upo upo upande gani kule unakubari kinachofanyika huku unapinga kinachofanyika umekaa upande upi?
Kule wapi nilipokubali huu upuuzi wa chama cha kijani unaoendelea ?
 
Nionyeshe hiyo sehemu.
Hii hapa
20251003_193259.jpg
 
Back
Top Bottom