GE2025 Samia Suluhu Hassan, achia nafasi ya Urais, sisi watanzania HATUKUTAKI

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Yupo sana tu mpk Mungu mwenyewe aamue vinginevyo. Humtaki mtoe au hama nchi
 
Nikiona mwanaume mzima unashadadia Rais Samia kuwa yupo na octoba unatiki ninakuona ni punguani kabisa. Ni mjinga, hamnazo wa kiwango cha SGR. Kisa unakula na kunya, hufikirii mambo mengine zaidi ya hapo, unaona hali inayoendelea ni sawa tuu hapa nchini na unashadadia puuzi ? Ptuuuuuh !!!!
 
Wewe kwani mboni sikuelewi huku upo na kule upo upo upande gani kule unakubari kinachofanyika huku unapinga kinachofanyika umekaa upande upi?
 
Wewe kwani mboni sikuelewi huku upo na kule upo upo upande gani kule unakubari kinachofanyika huku unapinga kinachofanyika umekaa upande upi?
Kule wapi nilipokubali huu upuuzi wa chama cha kijani unaoendelea ?
 
Kwahiyo umeshaamini kuwa ni mafwele ndo amemteka?!!!🀣🀣🀣🀣
Watanzania wengi wenu ni mafala sana aisee.
Watu hawana Tena muda Wa kuhakiki ukitaja tu mtu wanapita nae πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…