Samia Suluhu Hassan, Amiri Jeshi Mkuu pekee tangu uhuru aliyetoa amri mabasi yatembee usiku kucha, na hakuna anayethubutu kuyateka

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Nchi hii imeshakuwa na majemedari mahiri na nguli, lakini wote hawakuwa na ujasiri wa kutoa amri ya kuruhusu mabasi yatembee usiku kucha. Imagine chuma kama Nyerere hakikutoa amri hiyo, chuma kama Mwinyi, Mwamba kama Mkapa, Jemedari kama Kikwete, JPM pamoja na kuwa dikteta wa kwanza nchini, lakini aliogopa kuruhusu mabasi saa 24

Wengi walihofia majambazi, hahaaa, kwa Samia, jambazi wote kimya, vyuma vinaimba masaa 24 barabarani. Uchumi sasa ni wa masaa yote 24.

Tunatumaini uwekezaji wa soko la kisasa ubungo utafanya Dsm isilale, kazi iendelee usiku na mchana.

Viva Samia
 
Machawa wa aina yako wengi ni mashoga.
 
Technology ndio imefanya mabasi yatembee usiku watu hawabebi cash kama zamani, utateka basi zima hata laki tano upati na ukirogwa tu mpore simu mmedakwa wote thus majambazi hawaibi simu wanajua watadakwa kupitia hizo hizo simu walizoiba.
Sasa laki tano itarejesha gharama za ujambazi.
Technology imewalaza njaa majambazi thus siku hizi hawapo.
Jambazi anaiba pesa sasa watu hawasafiri au kukaa na pesa ndani.
 
Nchi hii imeshakuwa na majemedari mahiri na nguli, lakini wote hawakuwa na ujasiri wa kutoa amri ya kuruhusu mabasi yatembee usiku kucha. Imagine chuma kama Nyerere hakikutoa amri hiyo, chuma kama Mwinyi, Mwamba kama Mkapa, Jemedari kama Kikwete, JPM pamoja na kuwa dikteta wa kwanza nchini, lakini aliogopa kuruhusu mabasi saa 24

Wengi walihofia majambazi, hahaaa, kwa Samia, jambazi wote kimya, vyuma vinaimba masaa 24 barabarani. Uchumi sasa ni wa masaa yote 24.

Tunatumaini uwekezaji wa soko la kisasa ubungo utafanya Dsm isilale, kazi iendelee usiku na mchana.

Viva Samia
Amri ya mabasi kutotembea usiku ilitolewa miaka ya 1990 na aliyekuwa Waziri mkuu na makamu wa kwanza wa rais John Malecela baada ya ajali moja mbaya iliyotokea eneo la Gairo na kusababisha vifo kadhaa.
 
Nchi hii imeshakuwa na majemedari mahiri na nguli, lakini wote hawakuwa na ujasiri wa kutoa amri ya kuruhusu mabasi yatembee usiku kucha. Imagine chuma kama Nyerere hakikutoa amri hiyo, chuma kama Mwinyi, Mwamba kama Mkapa, Jemedari kama Kikwete, JPM pamoja na kuwa dikteta wa kwanza nchini, lakini aliogopa kuruhusu mabasi saa 24

Wengi walihofia majambazi, hahaaa, kwa Samia, jambazi wote kimya, vyuma vinaimba masaa 24 barabarani. Uchumi sasa ni wa masaa yote 24.

Tunatumaini uwekezaji wa soko la kisasa ubungo utafanya Dsm isilale, kazi iendelee usiku na mchana.

Viva Samia
utakuwa ni kijana gen z mabasi yalikuwa yakitoka saa 2 usiku miaka yote kabla ya shetani wa ujambazi kushika hatamu miaka ya 2000
 
Nchi hii imeshakuwa na majemedari mahiri na nguli, lakini wote hawakuwa na ujasiri wa kutoa amri ya kuruhusu mabasi yatembee usiku kucha. Imagine chuma kama Nyerere hakikutoa amri hiyo, chuma kama Mwinyi, Mwamba kama Mkapa, Jemedari kama Kikwete, JPM pamoja na kuwa dikteta wa kwanza nchini, lakini aliogopa kuruhusu mabasi saa 24

Wengi walihofia majambazi, hahaaa, kwa Samia, jambazi wote kimya, vyuma vinaimba masaa 24 barabarani. Uchumi sasa ni wa masaa yote 24.

Tunatumaini uwekezaji wa soko la kisasa ubungo utafanya Dsm isilale, kazi iendelee usiku na mchana.

Viva Samia
Watoto wa juzi utawajua tu.

Mabus yaliacha kutembea usiku kipindi cha Mzee Ruksa waziri wa mambo ya ndani akiwa late Lyatonga Mrema akihusika kupiga marufuku kwasababu za ajali mbaya za mara kwa mara.
 
Nchi imejaa walevi na wajinga kama huyu mtu kweli itapata maendeleo? huyu unaweza kuta naye ana masters lakini ukitoa cheti kichwa kinabaki kopo tupu, badala ya kuja kuandika point na mambo ya kusaidia nchi jitu na familia ake lianandika pointless sababu tu anakulipa mshahara bila kufanya kazi na hufukuzwi.
 
Back
Top Bottom