Nchi hii imeshakuwa na majemedari mahiri na nguli, lakini wote hawakuwa na ujasiri wa kutoa amri ya kuruhusu mabasi yatembee usiku kucha. Imagine chuma kama Nyerere hakikutoa amri hiyo, chuma kama Mwinyi, Mwamba kama Mkapa, Jemedari kama Kikwete, JPM pamoja na kuwa dikteta wa kwanza nchini, lakini aliogopa kuruhusu mabasi saa 24
Wengi walihofia majambazi, hahaaa, kwa Samia, jambazi wote kimya, vyuma vinaimba masaa 24 barabarani. Uchumi sasa ni wa masaa yote 24.
Tunatumaini uwekezaji wa soko la kisasa ubungo utafanya Dsm isilale, kazi iendelee usiku na mchana.
Viva Samia