Machawa wa aina yako wengi ni mashoga.Nchi hii imeshakuwa na majemedari mahiri na nguli, lakini wote hawakuwa na ujasiri wa kutoa amri ya kuruhusu mabasi yatembee usiku kucha. Imagine chuma kama Nyerere hakikutoa amri hiyo, chuma kama Mwinyi, Mwamba kama Mkapa, Jemedari kama Kikwete, JPM pamoja na kuwa dikteta wa kwanza nchini, lakini aliogopa kuruhusu mabasi saa 24
Wengi walihofia majambazi, hahaaa, kwa Samia, jambazi wote kimya, vyuma vinaimba masaa 24 barabarani. Uchumi sasa ni wa masaa yote 24.
Tunatumaini uwekezaji wa soko la kisasa ubungo utafanya Dsm isilale, kazi iendelee usiku na mchana.
Viva Samia
Amri ya mabasi kutotembea usiku ilitolewa miaka ya 1990 na aliyekuwa Waziri mkuu na makamu wa kwanza wa rais John Malecela baada ya ajali moja mbaya iliyotokea eneo la Gairo na kusababisha vifo kadhaa.Nchi hii imeshakuwa na majemedari mahiri na nguli, lakini wote hawakuwa na ujasiri wa kutoa amri ya kuruhusu mabasi yatembee usiku kucha. Imagine chuma kama Nyerere hakikutoa amri hiyo, chuma kama Mwinyi, Mwamba kama Mkapa, Jemedari kama Kikwete, JPM pamoja na kuwa dikteta wa kwanza nchini, lakini aliogopa kuruhusu mabasi saa 24
Wengi walihofia majambazi, hahaaa, kwa Samia, jambazi wote kimya, vyuma vinaimba masaa 24 barabarani. Uchumi sasa ni wa masaa yote 24.
Tunatumaini uwekezaji wa soko la kisasa ubungo utafanya Dsm isilale, kazi iendelee usiku na mchana.
Viva Samia
utakuwa ni kijana gen z mabasi yalikuwa yakitoka saa 2 usiku miaka yote kabla ya shetani wa ujambazi kushika hatamu miaka ya 2000Nchi hii imeshakuwa na majemedari mahiri na nguli, lakini wote hawakuwa na ujasiri wa kutoa amri ya kuruhusu mabasi yatembee usiku kucha. Imagine chuma kama Nyerere hakikutoa amri hiyo, chuma kama Mwinyi, Mwamba kama Mkapa, Jemedari kama Kikwete, JPM pamoja na kuwa dikteta wa kwanza nchini, lakini aliogopa kuruhusu mabasi saa 24
Wengi walihofia majambazi, hahaaa, kwa Samia, jambazi wote kimya, vyuma vinaimba masaa 24 barabarani. Uchumi sasa ni wa masaa yote 24.
Tunatumaini uwekezaji wa soko la kisasa ubungo utafanya Dsm isilale, kazi iendelee usiku na mchana.
Viva Samia
Watoto wa juzi utawajua tu.Nchi hii imeshakuwa na majemedari mahiri na nguli, lakini wote hawakuwa na ujasiri wa kutoa amri ya kuruhusu mabasi yatembee usiku kucha. Imagine chuma kama Nyerere hakikutoa amri hiyo, chuma kama Mwinyi, Mwamba kama Mkapa, Jemedari kama Kikwete, JPM pamoja na kuwa dikteta wa kwanza nchini, lakini aliogopa kuruhusu mabasi saa 24
Wengi walihofia majambazi, hahaaa, kwa Samia, jambazi wote kimya, vyuma vinaimba masaa 24 barabarani. Uchumi sasa ni wa masaa yote 24.
Tunatumaini uwekezaji wa soko la kisasa ubungo utafanya Dsm isilale, kazi iendelee usiku na mchana.
Viva Samia
Huyu shetani hana bando huwa anatumia modem ya Katibu wa UWT Wilaya ya Chunya.Anko Luka Lucas Mwashambwa Ankoooo.
Mtaalam was kupamba haya uje Upambe na Ukonga wafungwa tuinjoi.