Ficha upumbavu wakoNchi imejaa walevi na wajinga kama huyu mtu kweli itapata maendeleo? huyu unaweza kuta naye ana masters lakini ukitoa cheti kichwa kinabaki kopo tupu, badala ya kuja kuandika point na mambo ya kusaidia nchi jitu na familia ake lianandika pointless sababu tu anakulipa mshahara bila kufanya kazi na hufukuzwi.
1980s ulikuwa bado vinenani🐼Acha upashkuna
Kama umetumwa uje upige kampeni rudi kamwambie shetani hapa hapati kituNchi hii imeshakuwa na majemedari mahiri na nguli, lakini wote hawakuwa na ujasiri wa kutoa amri ya kuruhusu mabasi yatembee usiku kucha. Imagine chuma kama Nyerere hakikutoa amri hiyo, chuma kama Mwinyi, Mwamba kama Mkapa, Jemedari kama Kikwete, JPM pamoja na kuwa dikteta wa kwanza nchini, lakini aliogopa kuruhusu mabasi saa 24
Wengi walihofia majambazi, hahaaa, kwa Samia, jambazi wote kimya, vyuma vinaimba masaa 24 barabarani. Uchumi sasa ni wa masaa yote 24.
Tunatumaini uwekezaji wa soko la kisasa ubungo utafanya Dsm isilale, kazi iendelee usiku na mchana.
Viva Samia
Safari za usiku raha sana Ila kwenye bus kisiwe na wale madogo wanaopenda kunya ovyo safari itakua chunguTunatumaini uwekezaji wa soko la kisasa ubungo utafanya Dsm isilale, kazi iendelee usiku na mchana.
Ha ha haaa!! Naona Sasa tumeishiwa vitu vya kupamba na kuabuduNchi hii imeshakuwa na majemedari mahiri na nguli, lakini wote hawakuwa na ujasiri wa kutoa amri ya kuruhusu mabasi yatembee usiku kucha. Imagine chuma kama Nyerere hakikutoa amri hiyo, chuma kama Mwinyi, Mwamba kama Mkapa, Jemedari kama Kikwete, JPM pamoja na kuwa dikteta wa kwanza nchini, lakini aliogopa kuruhusu mabasi saa 24
Wengi walihofia majambazi, hahaaa, kwa Samia, jambazi wote kimya, vyuma vinaimba masaa 24 barabarani. Uchumi sasa ni wa masaa yote 24.
Tunatumaini uwekezaji wa soko la kisasa ubungo utafanya Dsm isilale, kazi iendelee usiku na mchana.
Viva Samia
Samia aongoze hadi 2040 ishallahNchi hii imeshakuwa na majemedari mahiri na nguli, lakini wote hawakuwa na ujasiri wa kutoa amri ya kuruhusu mabasi yatembee usiku kucha. Imagine chuma kama Nyerere hakikutoa amri hiyo, chuma kama Mwinyi, Mwamba kama Mkapa, Jemedari kama Kikwete, JPM pamoja na kuwa dikteta wa kwanza nchini, lakini aliogopa kuruhusu mabasi saa 24