Samia Suluhu Hassan anaweza kuwa rais anayevunja matumaini zaidi barani Afrika

Samia Suluhu Hassan anaweza kuwa rais anayevunja matumaini zaidi barani Afrika

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Ukurasa wa The Economist imeeleza namna Watanzania walikuwa na matumaini kuwa Samia Suluhu Hassan angeingiza jamii iliyo wazi zaidi. Sasa utawala wake wenye ukandamizaji unahatarisha mafanikio ya nchi na mustakabali wake.

Kupakwa rangi (kufichwa kwa ukweli) kwa hivi karibuni kwa mauaji ya baada ya uchaguzi ya waandamanaji na wapita njia kunashauri kuwa serikali yake haifikirii kuwa watu milioni 70 wa nchi hiyo wanastahili kuwa na sauti katika jinsi wanavyotawaliwa.

Wingu la hofu limetanda nchi nzima.
=============
Tanzanians had hoped Samia Suluhu Hassan would usher in a more open society. Now her repressive regime threatens the country’s achievements and its future.

The latest whitewashing of a post-election massacre of protesters and bystanders suggests that her government does not think the country’s 70m people deserve a say in how they are ruled.

A pall of fear hangs over the country.
 
nonsense
 
True, you always present nosense. But nosense from crippled brain of your kind Tlaatlaah, not surprising.
calm down gentleman,
and don't expose the level of your nonsense mayhem, as well as how empty head you are
 
Mama Samia, alikua na nafasi nzuri ya kurekebisha mambo katika nchi ya Tz. Kwa nafasi yake ya umama, angeweka legacy kubwa sana ya ukweli, sio ya mapambio.Alikua na nafasi ya kutusaidia kujenga taasisi za kiutawala imara, zilizo na checks and balance, kila mtu kuwa chini ya sheria, kutenganisha mahakama na serikali, uwajibishwaji wa jeshi la polisi pale ambapo wanakosea, kufumua mentality ya CCM kama chama Dola chenye patent ya kuongoza indefinetly, kurudisha na kutenganisha bunge na serikali- bunge kuwa na meno na kuiwajibisha serikali, kuruhusu na kusimamia mchakato wa katiba mpya kwa amani kabisa, then angekabidhi madaraka akaenda kpumzika, na angeweza pewa cheo cha Mama wa Taifa.
BUT KAHARIBU MPAKA SASA, rushwa, lawlessness, matumizi ya hovyo ya madaraka kwa watu wake, serikali kuwa kama mfalme, usalama, malalamiko, n.k.She has FAILED kabisa...tumsubiri MESSIAH mwingine..huyu kashindwa
 
Back
Top Bottom