Mama Samia, alikua na nafasi nzuri ya kurekebisha mambo katika nchi ya Tz. Kwa nafasi yake ya umama, angeweka legacy kubwa sana ya ukweli, sio ya mapambio.Alikua na nafasi ya kutusaidia kujenga taasisi za kiutawala imara, zilizo na checks and balance, kila mtu kuwa chini ya sheria, kutenganisha mahakama na serikali, uwajibishwaji wa jeshi la polisi pale ambapo wanakosea, kufumua mentality ya CCM kama chama Dola chenye patent ya kuongoza indefinetly, kurudisha na kutenganisha bunge na serikali- bunge kuwa na meno na kuiwajibisha serikali, kuruhusu na kusimamia mchakato wa katiba mpya kwa amani kabisa, then angekabidhi madaraka akaenda kpumzika, na angeweza pewa cheo cha Mama wa Taifa.
BUT KAHARIBU MPAKA SASA, rushwa, lawlessness, matumizi ya hovyo ya madaraka kwa watu wake, serikali kuwa kama mfalme, usalama, malalamiko, n.k.She has FAILED kabisa...tumsubiri MESSIAH mwingine..huyu kashindwa