Pre GE2025 Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa CCM Taifa, hata bila ya kampeni anaweza kushinda uchaguzi kwa kishindo kikuu

Pre GE2025 Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa CCM Taifa, hata bila ya kampeni anaweza kushinda uchaguzi kwa kishindo kikuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu huyu ambaye watu wameshaanza hadi kuchoma moto picha zake endeleeni kujidanganyeni.
Kupitia sanduku la kura ccm haiwezi shinda. Ccm wanabebwa na wanaotangaza matokeo wanatangaza uongo
kwan kuchoma picha nini si mihemko na ghadhabu tu, kuna watu walisusa hadi uchaguzi. kwani iliwasaidia nini uchaguzi ulifanyika serikali ikaundwa iko madarakani mpaka sasa 🐒
 
kwan kuchoma picha nini si mihemko na ghadhabu tu, kuna watu walisusa hadi uchaguzi. kwani iliwasaidia nini uchaguzi ulifanyika serikali ikaundwa iko madarakani mpaka sasa 🐒
Ni kweli wataendelea kuunda serikali ila suala la kushinda uchaguzi hawashindi. Ila wanatangazwa wameshinda wakati hawajashinda kutokana na mfumo mbovu wa kuwapata wanaotangaza matokeo.
Kwa Tanzania anayechagua nani awe kiongozi sio mpiga kura bali anayetangaza matokeo
 
Back
Top Bottom