Samia suluhu, Makatibu wabunge wamesahau 2/3

Wasomi wamwaga sifa Sayansi ya CCM kwenye uteuzi, hakuna mpasuko daaa kweli HAWA jamaa kiboko wameshauri UKAWA ikae mguu sawa maana bado haijafikia uamuzi wa kumpata mgombea wao!!
 
Wasomomi hawa wa kibongo, hata misisiem ikienda haja haja kubwa pale ukumbini watasifu tu, Kwa kutegemea Wapate kazi ya kusafisha.
 
Acha kulipuka check red hiyo! nenda kamuulize Prof.Baregu mtu wenu UKAWA leo kasema nini wakati akihojiwa na ITV teh teh te mnaweweseka tu
 
Wakati wa sherehe ya kukabidhiwa katiba inayopendekezwa nilijisikia aibu ambayo nina miaka mingi kujisikia aibu namna ile. Ukweli ni kwamba awamu hii ya utawala ndo tumeona nchi yetu inaongozwa kwa masihara sijawahi kuona.

Kikwete alimuuliza Samia Suruhu " hivi 2/3 ya bara ilikuwa wajumbe wangapi?" kamera ikamuonyesha Suluhu ameangalia juu akichezesaha vidole kama anahesabu hivi! Mara kamera ikatuonyesha waliokuwa makatibu wa Bmk kama wanajadiliana kitu wasichokuwa na hakika nacho. Mara Kikwete akasema "nadhani kama 350 hivi"!

Yaani suala kubwa kama hili Kikwete, Suluhu, makatibu wa bunge na Sitta mwenyewe hawajiu 2/3 ya bara ilikuwa ni ngapi? Mnaandaa sherehe kubwa kama ile wakati hamna rekodi kamili ya matokeo? hapana, huu ni mzaha na aibu kubwa sana! Katika 'mawimbi na tsunami' aliyosema rais unaweza kufanya mzaha wa namna hii!

Tanzania!!!
Acha uongo wako wewe, sasa tuwekee hiyo camera ikiyoonyesha hayo unayoyasema, we vp mambo yamepita we unayakumbushia au una wivu kwakuwa mama Samia kachaguliwa kuwa mgombea mwenza? Acha wivu wa kijinga wewe, nchi hii yetu yote kwa faida ya watanzania wote acha kuongea porojo zako bhana
 
Wasomomi hawa wa kibongo, hata misisiem ikienda haja haja kubwa pale ukumbini watasifu tu, Kwa kutegemea Wapate kazi ya kusafisha.
Axha matusi wewe, we hujui unaishi unakula sababu ya ccm? Mshahara na kila kitu mali ya ccm afu unaongea porojo zako hapa
 
hahaha daah kazi ipo kuna wale wanaohongwa kukiweka chama madarakan ccm mwisho wa siku wanakufa mwananyamala wakiomba msaada wa fedha za matibabu wakat viongoz wao wanatibiwa marekan basi hata hili hamuoni
 
Axha matusi wewe, we hujui unaishi unakula sababu ya ccm? Mshahara na kila kitu mali ya ccm afu unaongea porojo zako hapa
Hapa umeonesha udhaifu mkubwa, unauhakika gani kuwa huyo ndg yuko kwenye payroll ya CCM!! Je, una uhakika gani kuwa huyo mtu yuko Tanzania!!! Jenga hoja usidhalilishe mtu kwa namna yoyote ile!!!! Halafu rudisha heshimu kwa wazazi wako, kila mtu anakula kwa kamba yake ambayo alipewa na wazazi wake kama miungu. Hivyo kama ni utukufu uende kwa wazazi sio chama cha kisiasa
 
Nipe tathmini ya UKAWA aisee!
 
Nipe tathmini ya UKAWA aisee!
Sipo kwenye hema lako, sipo kwenye hema la ukawa. Ninyi Wenye kujihangaisha na vyama badala ya hoja na agenda, mnaonesha kuwa ni failed mindset which results into failed state. Na ndiyo maana kwenye katiba ya chenge mnaongea lugha ya ni nzuri ukiulizwa uzuri wake... majibu mnayotoa hayana mashiko. Mtu akielezea udhaifu na ujinga na migongano iliyowekwa kwa makusudi mnasema analipwa na UKAWA, This reflects your failed mindset. Are we the failed state? we will get the answer from nowhere!!!! Ila zingatia kuwa tuko karne ya 21
 
Wewe uko mfukoni mwa Lowassa unaongea nini?checki hata porojo zako umeziokota mtaa wa Ufipa!
 
Axha matusi wewe, we hujui unaishi unakula sababu ya ccm? Mshahara na kila kitu mali ya ccm afu unaongea porojo zako hapa

We unashikishwa ukata kweli wewe..labda mkeo ndo anakula kwa ajili ya ccm
 
Wewe uko mfukoni mwa Lowassa unaongea nini?checki hata porojo zako umeziokota mtaa wa Ufipa!
Hii ni moja ya shida kubwa sana kwa Watanzania wenzangu, ukiwaza tofauti naye lazima atakuweka kwenye group fulani ili kujitetea. Leo umeniweka kwa Lowassa, wanaonijua wanajua niko wapi, ila cha muhimu fahamu kuwa mimi ni mfungwa sichagui gereza. Kesho nadhani utanitafuta kujua dini yangu, na sia ajabu ukiona niko upande wako, utatafuta kujua kabila langu, ukiona niko upande wako, bado utaendelea kutafuta marafiki zangu, the list goes on, Haya ni mawazo ya watu ambao wamefirisika kichwani mwao, wanajadili watu badala ya hoja. Leo hii nikikuuliza huyo uliyemtaja na wale ambao hujawataja, hata na yule ambaye unamshabikia, wana agenda gani kwa taifa mpaka wote wanataka waende ofisi kuu ya nchi ya Magogoni!!!

Mwl. Nyerere tuliiona agenda yake, Mzee Ruksa tuliiona agenda yake, Mzee Mkapa tuliiona agenda yake. Je, hao wanaotaka sasa wana agenda gani? Almost wote ukiwauliza leo watakupa majibu ya ubababishaji. Usifanye mambo kishabiki, TAFAKARI
 
Endeleakuwa mfungwa tu kwani unafikiri utatoka huko mfukoni mwa hao jamaa?
 
mwanzoni nilikuwa sikuelewi, sasa nimekuelewa vizuri. Kumbe mimi sio mtu wa daraja lako, kwa sababu lugha ninayoitumia sio ya daraja lako ndiyo maana huilewi. Endelea kumezeshwa sumu, huku ukiongopewa kuwa ni maziwa fresh kutoka kwa ng'o,be wakati ni sumu ya kufisha. Kwa hakika kanuni iko wazi mtu akishupaza shingo yake, mwishoni atavunjika vunjika, kwaheri
 
Back
Top Bottom