Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Kwamba nyumba ambayo makosa yake hayasemwi na kufunikwa nyumba hiyo haiishi. Bila ya kusema makosa hayo ipo siku yatakuwa mengi na madhara yake yatakuwa makubwa lakini yakisemwa basi utapatikana muda wa kujirekebisha.
Asipojirekebisha je, basi anaamishwa sehemu nyingine akaendeleze madudu yake? Alisikika mlevi mmoja akipayuka!
Asipojirekebisha je, basi anaamishwa sehemu nyingine akaendeleze madudu yake? Alisikika mlevi mmoja akipayuka!