figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
nonsense 🐒Royal tour imegeuka kuwa roho toa. Serikali ya Tanzania imechafuka kimataifa. Watanzania hawatakuzomea uone aibu, bali watakulaani wewe na kizazi chako. 29.10.2025 haitasahaulika. Ndo kitu pekee wajivunia.
Itatuchukua miaka kujenga ulipo bomoa. Chawa walaniwe, hakuambiii ukweli unavyo chukiwa.
View attachment 3643419
KabisaTatizo kubwa la hii awamu ni pamoja na hawa chawa wanaolipwa kusafisha upepo.
Jifunze kwanza ..tofauti ya changamoto na upumbavuTanzania tuna changamoto zetu nyingi lakini huu ujinga wa tiktokers hauwezi kuwa kipimo cha uimara au udhaifu wetu.
Sina la kujifunza kwenye hayo mawiliJifunze kwanza ..tofauti ya changamoto na upumbavu
Kwani akili ya kujifunza unayo?Sina la kujifunza kwenye hayo mawili
Wewe ni mke wa Lwiva?Kwani akili ya kujifunza unayo?