Samia Suluhu Personal Security is Porous

Samia Suluhu Personal Security is Porous

Mashashola

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2020
Posts
4,345
Reaction score
5,718
Women empowerment inalazimishwa mahali haifai.

This people are just trying to copy what men normally do but in a dangerous exaggerated way.

The Head of presidential security Tanzania Mwenye amepanga hao wanawake is doing a great injustice to Suluhu.

Don't put too many women around the president because they are physically weak under real threat.
Screenshot_20210522-034729.jpg
 
mama tunampenda hata akitembea peke yake hakika no one atamsumbua mama yetu tunamlinda sisi wenyewe wafia Tanzania kwanza
Being a president unayependwa na raia wako haikupi leseni ya kutochukiwa na watu wako wa karibu. Tena maraisi wanaopendwa na raia wao ndio wanaongoza kwakuwa na maadui walio karibu yake.
 
Being a president unayependwa na raia wako haikupi leseni ya kutochukiwa na watu wako wa karibu. Tena maraisi wanaopendwa na raia wao ndio wanaongoza kwakuwa na maadui walio karibu yake.
Exactly. Akina Thomas Sankara na Patrice Lumumba walipendwa sana na wananchi wao ila waliangamizwa na maadui wao wasiopenda maendeleo.
 
Organize kikundi chako mkatest mitambo ili tuamini kua kweli hawafai.
 
Rais wa africa akifa wananchi lazima washangilie kwa sababu ya udhalimu na uonevu wananchi wanaofanyie na serikali zilizopo madarakani
 
The good news ni kwamba Rais wa nchi ya kiafrika akifa ni faida kwa sababu wameingia madarakani kwa wizi wa kura lakini above all hakuna la maana ambalo wanafanya.
That's relative [emoji23]
 
Women empowerment inalazimishwa mahali haifai.

This people are just trying to copy what men normally do but in a dangerous exaggerated way.

The Head of presidential security Tanzania Mwenye amepanga hao wanawake is doing a great injustice to Suluhu. Don't put too much women around the president because they are physically weak under real threat.
View attachment 1793397
They are just aide de camp. Kwa kiswahili tunaita wapambe.

Kazi zao mara nyingi siyo bondia wala kupigana na watu.
 
Women empowerment inalazimishwa mahali haifai.

This people are just trying to copy what men normally do but in a dangerous exaggerated way.

The Head of presidential security Tanzania Mwenye amepanga hao wanawake is doing a great injustice to Suluhu. Don't put too much women around the president because they are physically weak under real threat.
View attachment 1793397
Kwa mtazamo wa picha unaweza ona kama wako weak ila jichanganye ndo utajua shughuli yao
 
Kuna kaukweli fulani kwenye hili, labda mama kaamua mwenyewe iwe hivyo kwa sababu za kidini, maana hata ukiona hao wanawake wote wamesitiri nywele. Labda dini yake hairuhusu azungukwe na madume wenye vifua.....

Sio vibaya kuchomekea mademu wachache kwenye secret service, ila wasiwe wote hao, watazabwa vibao na rais kudhuriwa, sema kunao hupendeza kama huyu hapa...

nintchdbpict000297397023-e1485517877160.jpg
 
Back
Top Bottom