Samia Suluhu Personal Security is Porous

Samia Suluhu Personal Security is Porous

Huyu hata alivyovaa tu hakai wa kutosha. Hata Suruali hawezi fanya nadhifu!?
Screenshot_20210504-204826.png
 
Kuna kaukweli fulani kwenye hili, labda mama kaamua mwenyewe iwe hivyo kwa sababu za kidini, maana hata ukiona hao wanawake wote wamesitiri nywele. Labda dini yake hairuhusu azungukwe na madume wenye vifua.....

Sio vibaya kuchomekea mademu wachache kwenye secret service, ila wasiwe wote hao, watazabwa vibao na rais kudhuriwa, sema kunao hupendeza kama huyu hapa...

nintchdbpict000297397023-e1485517877160.jpg
True.Her zanzibar culture played a huge part in making that decision.
She doesn't want the ndaganyi(ass) to keep piping on a makaliyo 24/hrs. Least the youtuber will be flooding her image worldwide websites.
 
Hii ni dalili ya kukosa mada za kuongelea.

Mzee hao sio walinzi pekee, zaidi sana hao ni wasaidizi wa rais.
Mambo ya kike atasaidiwa na mwanaume!?
Umemaliza kila watu wanaleta ujuaji kwa vitu wasivyoelewa
 
Women empowerment inalazimishwa mahali haifai.

This people are just trying to copy what men normally do but in a dangerous exaggerated way.

The Head of presidential security Tanzania Mwenye amepanga hao wanawake is doing a great injustice to Suluhu.

Don't put too many women around the president because they are physically weak under real threat.
View attachment 1793397
Mkuu, wahusika wanajua wanachokifanya, acha wafanye kazi yao. Hukumbuki wakati JPM anaingia alikuwa na bodyguard mwanamama? Hukumbuki pia kwamba hayati Ghaddafi alikuwa na timu ya walinzi wanawake tupu?
 
The good news ni kwamba Rais wa nchi ya kiafrika akifa ni faida kwa sababu wameingia madarakani kwa wizi wa kura lakini above all hakuna la maana ambalo wanafanya.
Usitake kuona rais wenu akiuwawa akiwa madarakani maana italeta instability katika nchi. Prime minister wa kwanza wa Drc Patrice Lumumba aliangamizwa lakini nchi hio haijawahi kuwa sawa tangu hio siku.
 
Kuna wanaume hapo wasiionekana wanamzunga Rais kuhakikisha usalama wake...
 
Back
Top Bottom