Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,345
- 5,718
Being a president unayependwa na raia wako haikupi leseni ya kutochukiwa na watu wako wa karibu. Tena maraisi wanaopendwa na raia wao ndio wanaongoza kwakuwa na maadui walio karibu yake.mama tunampenda hata akitembea peke yake hakika no one atamsumbua mama yetu tunamlinda sisi wenyewe wafia Tanzania kwanza
Exactly. Akina Thomas Sankara na Patrice Lumumba walipendwa sana na wananchi wao ila waliangamizwa na maadui wao wasiopenda maendeleo.Being a president unayependwa na raia wako haikupi leseni ya kutochukiwa na watu wako wa karibu. Tena maraisi wanaopendwa na raia wao ndio wanaongoza kwakuwa na maadui walio karibu yake.
Chadema wamefurahi sanamama tunampenda hata akitembea peke yake hakika no one atamsumbua mama yetu tunamlinda sisi wenyewe wafia Tanzania kwanza
Wewe unafikiri aliyekuwa dc wa hai atampenda kweli?mama tunampenda hata akitembea peke yake hakika no one atamsumbua mama yetu tunamlinda sisi wenyewe wafia Tanzania kwanza
That's relative [emoji23]The good news ni kwamba Rais wa nchi ya kiafrika akifa ni faida kwa sababu wameingia madarakani kwa wizi wa kura lakini above all hakuna la maana ambalo wanafanya.
KweliRais wa africa akifa wananchi lazima washangilie kwa sababu ya udhalimu na uonevu wananchi wanaofanyie na serikali zilizopo madarakani
They are just aide de camp. Kwa kiswahili tunaita wapambe.Women empowerment inalazimishwa mahali haifai.
This people are just trying to copy what men normally do but in a dangerous exaggerated way.
The Head of presidential security Tanzania Mwenye amepanga hao wanawake is doing a great injustice to Suluhu. Don't put too much women around the president because they are physically weak under real threat.
View attachment 1793397
Kwa mtazamo wa picha unaweza ona kama wako weak ila jichanganye ndo utajua shughuli yaoWomen empowerment inalazimishwa mahali haifai.
This people are just trying to copy what men normally do but in a dangerous exaggerated way.
The Head of presidential security Tanzania Mwenye amepanga hao wanawake is doing a great injustice to Suluhu. Don't put too much women around the president because they are physically weak under real threat.
View attachment 1793397