Samia Suluhu Scholarships

Samia Suluhu Scholarships

Justdr

Member
Joined
Jun 1, 2021
Posts
52
Reaction score
104
Samia scholarship ni definition sahihi ya mwenye nacho ataongezewa.

Ask me how?
 
Mmmh!!!?
Nimeandika nikafuta nikaandika nikafuta tena
 
Hili nilishalisema sehemu kama mchangiaji.
Watoto bora zaidi ni wale waliosoma shule za gharama zaidi.
Je, maskini alisomesha St. Peter, FEZA girls?
Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na viongozi wenye akili sana.
Mimi nilipata
Kiswahili B
Maarifa A
Hisabati A
Sayansi B
English A
Ila nilichaguliwa shule ya vipaji maalumu kwa kuzingatia hoja kuu 2.
1. Sisi ndio la saba wa kwanza
2. Shule iko kijijini (mashambani) hakuna tuition wala nini.
Nilipofila shule tuliburuzana na wale waliokuja shule na A flat na wengi tu niliwapita, nilihitimu form four nikiwa mwanafunzi wa sita katika shule yetu huku nikitoka na one .
 
G
30+ wanatoka shule ya baba ake AHMES
Pia waliofaulu zaidi ni private schools je wanashindwa kusomeshwa vyuo?
Wakat asilimia yao kubwa huend kusoma abroad.
Gharama za kusoma shule kama FEZA schools kwa mwaka mmoja unalipa ada ya miaka zaidi ya mitatu kusoma Bachelor degree yoyote kwenye public institution za Tanzania
 
2025!
Term/ phase yake ikiisha itaendelea kuitwa hivyo?
Hivi kabla ya hii serikali haikuwahi kutoa scholarship?
 
Hili nilishalisema sehemu kama mchangiaji.
Watoto bora zaidi ni wale waliosoma shule za gharama zaidi.
Je, maskini alisomesha St. Peter, FEZA girls?
G

Gharama za kusoma shule kama FEZA schools kwa mwaka mmoja unalipa ada ya miaka zaidi ya mitatu kusoma Bachelor degree yoyote kwenye public institution za Tanzania
Feza watoto wa matajiri wanalipa ada ila watoto wa masikini ambao ni Vichwa wanasoma bure ama wanalipia kidogo. Si kila aliesoma Feza ni tajiri.

Pitia hapa kujua zaidi ni namna gani watu wanakuwa Admitted Feza
 
Nimeisoma hiyo attchmnt imenivutia sana hakika Feza schools ni shule bora kwa Elimu kwanz kuw admitted unaitajika uwe na shule kichwani haswa pia katika sheria zake ni more seriously and deadfull
 
Hili nilishalisema sehemu kama mchangiaji.
Watoto bora zaidi ni wale waliosoma shule za gharama zaidi.
Je, maskini alisomesha St. Peter, FEZA girls?
Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na viongozi wenye akili sana.
Mimi nilipata
Kiswahili B
Maarifa A
Hisabati A
Sayansi B
English A
Ila nilichaguliwa shule ya vipaji maalumu kwa kuzingatia hoja kuu 2.
1. Sisi ndio la saba wa kwanza
2. Shule iko kijijini (mashambani) hakuna tuition wala nini.
Nilipofila shule tuliburuzana na wale waliokuja shule na A flat na wengi tu niliwapita, nilihitimu form four nikiwa mwanafunzi wa sita katika shule yetu huku nikitoka na one .
Hongera sana kwa kipindi kile ulipambana sana lakini now days ata shule za government zinaongoza na mtu anatoka akiwa na A flat na Rais Samia Suluhu anaendelea kuboresha sekta ya elimu kwaiyo tutarajie mambo makubwa zaidi

Pia Samia Scholarship itasaidia kuimarisha sekta ya elimu upande wa sayansi na teknolojia na haijabagua imeangalia ufaulu na wale waliotoka government school wamechaguliwa
 
Samia scholarship ni definition sahihi ya mwenye nacho ataongezewa.

Ask me how?
Sio kweli Samia Scholarship imefata haki imecahgua wanafunzi wenye ufaulu wa juu na waliotoka shuke za kata wamo mzee kwaiyo punguza makasiliko
 
30+ wanatoka shule ya baba ake AHMES
Pia waliofaulu zaidi ni private schools je wanashindwa kusomeshwa vyuo?
Wakat asilimia yao kubwa huend kusoma abroad.
Sasa na hawa wanafunzi wa government school wakaze msuli ili wachaguliwe na kwingi
 
Kuna wanafunz uko wamefaulu kwenda vyuo ufaulu mzur tu but awana ada wanategemea mkopo.

Tena hyo idadi iliyotelew wangewez kufanya research wenye uhitaji hao wanafunz wangepatikana kuliko kuwapa waliosoma shule kubwa
 
Back
Top Bottom