Samia tumaini jipya Tanzania: The Economist baada ya kumsakama sana Magufuli, sasa angalau lina matumaini na Samia, laanza naye vizuri

Alexander wewe ni the great [emoji1433][emoji1433]
 
Rasilimali gani alizodhibiti wizi kumbe mijitu mijinga bado mpo

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Acheni hizi kwanini aendeleze Legacy ya Magufuli kwani yeye hana akili mpaka atumie akili ya mtangulizi wake

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Ila Magufuli kaharibu sana akili zenu hii Tanzania ya Kabudi kwenda ufaransa kuomba Hela ndio unasema Nchi Una uchumi huru kaaah

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
A Titan in our JF fraternity.
 
Ukiona mabeberu wanamsifia kwa dhati kabisa rais wako,basi jua kwamba rais wako hafai,ukiona mabeberu wanamchukia kwa dhati kabisa rais wako,basi tambua kwamba rais wako anafaa....usichukulie mambo juu juu ndugu yangu,fikiri kwa mapana zaidi...

NB:
Halafu naomba nipatie jawabu la hili swali hapo chini kama kweli unajua unachokisema.

Swali;
Taja dalili 3 tu za covid19 ambazo zipo kwenye covid19 TU lakini huwezi kuziona kwenye Influenza.

Nakuruhusu uulize kokote pale unakokuamini.Pia lete source ya jawabu lako ambayo inathibitisha jibu lako.

Ukipata dalili hizo 3 leo ndio itakua mwisho wangu kuandika chochote humu JF.

Wenye akili wameshaelewa namaaisha nini.
 
Katiba ni maandishi tu yaliyoandikwa na mwanadamu,maandishi hayana uwezo wa kutenda,atendaye ni binadamu....

Katiba ni upuuzi tu kama utampata kiongozi anayejielewa....maana atatenda kulingana na hali ilivyo kwa wakati huo....

Dini kama uislam na ukristo zina katiba zake ambazo ni quran na biblia...lakini leo hii watu wenye dini hizi ndio wanaofanya maovu kupindukia kuliko wasio na dini....

Je,haikuandikwa kwamba usizini? Je wewe hujawahi kuvunja katiba/yaani msahafu wako kwa kuzini?...hujawahi kutamani kisicho chako?...hujawahi kusema wongo?....huoni kama umevunja katiba yako kama muislam/mkristo?....sasa kama wana dini wanavunja katiba aliyoiweka Mungu wao,Je,kuna kitu gani cha kuogopwa zaidi ya Mungu?

Katiba is Bullshit like any other bullshit!

Marekani wenyewe hawafuati katiba yao kwenye mambo mengi sana ya muhimu....
Kwani wewe hujui kama kuundwa kwa FED ni kinyume na katiba ya Marekani?Sasa kama ni hivyo katiba ina umuhimu gani kama inaweza kukiukwa pale viongozi wanapoamua kufanya hivyo?

Acheni kufikiri kwa kutumia mawazo ya kibeberu,mabeberu wanatufanya tufikiri kwa tune yao ili tucheze mziki wao na tusahau wa kwetu.
 
Acha kuniletea mawazo ya kijinga, Marekani wangekuwa kama huku kwetu Trump angekubali kuachia Ikulu? mahakama zao zipo huru, leo hii Ndugai anafanya anachotaka anavunja katiba na sheria waziwazi lakini amejiwekea kinga ya kutoshitakiwa, umeona Marekani kuna mtu hashitakiwi? mwisho nadhani beberu ni bibi yako kama sikosei
 
Ni wachache sana humu wana level kama yako ya uelewa wa mambo....watu wanadhani habari za kweli zinaptikana BBC,FOX NEWS,ALJAZEERA au CNN...

Hongera sana kwa uelewa wako mpana na very sensitive.Ni wachache tu ndio wanaweza kuelewa usemacho...najua wengine watakimbilia tu kusema hii ni "conspiracy" ..ha ha haaa
 
Unaweza kuniambia wale waliovunja katiba ya Marekani kwa kuunda FED walishtakiwa na nani?

Swali moja hili linakutosha kupima uelewa wako.
 
Let's join hands mkuu basi kujaribu kutoa elimu.I know it's like a drop in the ocean,but something is better than nothing.
 
Ukiona wazujgu wanakufurahia ujue lazima wana jambo lao
 
Kimsingi Mayalla mm nakukubali toka zamani kipindi kile ITV miaka ya 2000 nikiwa mdogo ila kuanzia mwaka 2015 ulikuwa unanikera yaan ulizidi kumsifia Magu hata kama anakosea
Yes Magu kafanya mazuri na pia kafanya mabaya mengi sasa watu kama nyinyi milikuwa mnasema mazuri na mabaya yake hamyasemi ni bora mngekuwa mnanyamanza kubalnce ukweli
Kwa sasa tutaona mengi sana kuhusu mapungufu ya Magu
Kiufupi tujifunze kukubali ukweli kama hao Economist wanayosema ni ya kweli na mtu ukipinga maana yake anaepinga ukweli huyo Ana matatizo ya akili hivyo ni muda wa kutafakari na kupima je yanayosemwa ni ya kweli au
 

Mkuu ukiona economist anakuandika. Ujue you matter. Ukiona wanakusifia Ogopa sana. Kama wewe ndo unajiita uko makini utaelewa sana.
 

Wewe sio mkulima. Wewe Ni mpinzani.
 
Ulikaa kimya kusubiria uteuzi bahati mbaya kwako dikteta ameishafukiwa sasa anza kutumia tena kichwa chako. Sukumagang linafumuliwa

Mkuu una sifa hizi
You won't go deep. ...
Everything is about you. ...
You become defensive. ...
You have commitment issues. ...
You don't own their mistakes. ...
You feel more alone than ever.
 
Mungu akubariki sana mkuu Alexander The Great .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…