tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Yaani hana uvumilivu wa KisiasaUongo, watu wakitoa maoni usiyopenda kusikia unawateka na kuwachinja kama kuku muuuaji mkubwa wewe
Nimecheka kimmbwa😂😂 twende hapa hebu tukafanye yetu mwangu🧨
Tuchinjane tu aisee⚔️Hatutaki Amani ya mchongo sasa tunataka vita tuchinjane tuheshimiane
Umeona tutavyo wagawana hawa wauaji 😅😅Nimecheka kimmbwa😂😂 twende hapa hebu tukafanye yetu mwangu🧨