GE2025 Samia: Tumeimarisha CAG na TAKUKURU, Hati Chafu zimepungua kutoka 10 mwaka 2021 hadi 1 kwa Miaka Minne

GE2025 Samia: Tumeimarisha CAG na TAKUKURU, Hati Chafu zimepungua kutoka 10 mwaka 2021 hadi 1 kwa Miaka Minne

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM, Samia Suluhu, amesema, "Kwa upande wa mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi, Serikali imejitahidi kuimarisha taasisi za mdhibiti, Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ili ziweze kufanya kazi zake kwa umahiri."

Akaongeza, "Kwa upande wa ukaguzi wa hesabu za serikali mwaka 2021 tulikuwa na hati chafu 10 na hati zenye mashaka 81. Leo, miaka minne baadaye, hati chafu imebaki moja tu, na hati zenye mashaka zimepungua hadi kufikia 5."
 
Nimeshawahi kufanya kazi na DEDs na wale ma DT najua jinsi hati za ukaguzi zinazoitwa SAFI ZINAVYOPATIKANA.
wewe mama acha kuongea hayo. Hakuna wala rushwa kama wakaguzi wa hesabu za serikali wote wa ndani na nje
 
Huyu mama ameshawaona watanganyika hamna tofauti na matako yake, yaani anawadharau kupindukia, anajua hamna la kumfanya.
 
Mama ametufikia, mzalendo halisi, jasiri muongoza njia. Mikumi tena kwa mama!!
 
Jamii forum mmenunuliwa na Samia?

Habari ya kupotosha Kama hii unairuhusu vp ?
 
Mama ametufikia, mzalendo halisi, jasiri muongoza njia. Mikumi tena kwa mama!!
Naunga mkono juhudi za mama, Mudi wasifute tu nahuu uzi ili tuunge mkono jihudi.....teh
 
Hati safi bila kupatikana walio chafua na kua chafu.
Takataka
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom