GE2025 Samia: Tutajenga reli ya kilomita 1,000 ambayo itapita kwenye maeneo ya Liganga na Mchuchuma

GE2025 Samia: Tutajenga reli ya kilomita 1,000 ambayo itapita kwenye maeneo ya Liganga na Mchuchuma

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema serikali ya awamu ya sita imeanza mpango wa ujenzi wa reli ya zaidi ya Kilomita 1,000 kutoka Mtwara mpaka Mbamba Bay mkoani Ruvuma.

Akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Nyasa mkoani Mtwara kwenye eneo la Mbamba Bay jana Jumapili Septemba 21, 2025, wakati wa mkutano wake wa kampeni, Dkt. Samia amesema tayari tafiti za mwanzo kuhusu mradi huo zimeanza na reli hiyo ya kimkakati itapita kwenye maeneo ya kilimo pamoja na kwenye eneo la Liganga na Mchuchuma kunapopatikana makaa ya mawe.

Chanzo: Jambo Tv
 
Hiyo reli ya kisasa ijengwe na wazawa wa Tanzania. Tumechoka pesa zetu kuwatajirisha wachina , huku sisi tukibaki na mlima wa madeni.

Watoto wetu kukosa ku practice science and technology
 
Back
Top Bottom