Hivi huyu bi*ch anajua maana ya utu? Serikali yake iko nyuma ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini. Tangu lini utekaji na mauaji yakaheshimisha na kulinda utu wa Mtanzania?Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Samia Suluhu kwenye kampeni zake huko Buhongwa, Mwanza amesema, "CCM inaomba mtupe kazi, tukafanye kazi, tujenge utu wa Mtanzania, tuuheshimishe utu wa Mtanzania, na tuulinde utu wa Mtanzania."