Samia tuzo ya Mo Ibrahim inakuhusu kama ukiendelea hivi

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Lugha yako, lafudhi yako, sura yako na unyenyekevu wako vinakupa kila aina ya sifa za kuwa kiongozi bora.

Mambo matatu mazito umeyaruhusu leo ambayo ni nadra sana kuyasikia kwa viongozi wa kiafrika dhidi ya wapinzani wao.

*Rukhsa vyama vya siasa kufanya mikutano.
*Sheria kandamizi kuondolewa
*Katiba kurekebishwa kwa kutumia kamati maalumu.

Hongera sana mheshimiwa rais.
.
 
Hivi nchi hii unaijua vizuri au unaiskia,hapo kuna beberu anafurahishwa,huenda pesa hainekani ameamua kupima upepo wa ndani kaona isiwe shida,huenda mabomu na maji washa yanaanza kuexpire ndo wameona wapunguze stock ili kuokoa hali.
 
Give benefit of doubt mkuu. It is good to be optimistic rather than pessimistic.
 
Hivi nchi hii unaijua vizuri au unaiskia,hapo kuna beberu anafurahishwa,huenda pesa hainekani ameamua kupima upepo wa ndani kaona isiwe shida,huenda mabomu na maji washa yanaanza kuexpire ndo wameona wapunguze stock ili kuokoa hali.
Negativity is poison, utakufa kwa mhaho.
 
Back
Top Bottom