Mtanzania2020
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 1,033
- 2,307
Eti wakuu nimejaribu tu kuwaza. Kwani bi mkubwa akiamua tu kutokugombea na kurudi kwao kizimkazi kupumzika kwani arapungukiwa na nini maana hatuna deni nae. Chini ya uongozi wake kila kitu kinakwenda halijojo, utekaji, ubabe uhamishaji masai NGORONGORO, kubinafsisha rasilimali za nchi kama bandai n.k. Binafsi natamani itokee miujiza aahirishe kugombea mhula mwingine kidogo tupumue na hili deni la trillion 97 si tumelikubali na tutajichanga na huyo rais ajaye tulilipe ila kwa sasa inatosha mama aende, tafadhali mama tunaomba uende ulipotufikisha panatosha mwache mwingine achukue usukani
Eti wakuu nimejaribu tu kuwaza. Kwani bi mkubwa akiamua tu kutokugombea na kurudi kwao kizimkazi kupumzika kwani arapungukiwa na nini maana hatuna deni nae. Chini ya uongozi wake kila kitu kinakwenda halijojo, utekaji, ubabe uhamishaji masai NGORONGORO, kubinafsisha rasilimali za nchi kama bandai n.k. Binafsi natamani itokee miujiza aahirishe kugombea mhula mwingine kidogo tupumue na hili deni la trillion 97 si tumelikubali na tutajichanga na huyo rais ajaye tulilipe ila kwa sasa inatosha mama aende, tafadhali mama tunaomba uende ulipotufikisha panatosha mwache mwingine achukue usukani
Waliongea wakauliwa,magufuli,magufuli....haya kafa sasaWakati wa magufuli ulithubutu kuongea hayo???
Soon watashindwa kutembea
we ni nani unaotoa ushauri huu? Deepstate wanamtaka kama hawamtaki asingegombea tena. Wazee wa nchi wapo na hawajamshauri asigombee, who are you?Eti wakuu nimejaribu tu kuwaza. Kwani bi mkubwa akiamua tu kutokugombea na kurudi kwao kizimkazi kupumzika kwani arapungukiwa na nini maana hatuna deni nae. Chini ya uongozi wake kila kitu kinakwenda halijojo, utekaji, ubabe uhamishaji masai NGORONGORO, kubinafsisha rasilimali za nchi kama bandai n.k. Binafsi natamani itokee miujiza aahirishe kugombea mhula mwingine kidogo tupumue na hili deni la trillion 97 si tumelikubali na tutajichanga na huyo rais ajaye tulilipe ila kwa sasa inatosha mama aende, tafadhali mama tunaomba uende ulipotufikisha panatosha mwache mwingine achukue usukani
Shida ya watanzania most of them huwajulii wanataka nini, in short huwezi kupendwa na wote.Waliongea wakauliwa,magufuli,magufuli....haya kafa sasa
Niwekee hicho kipengele cha kutukanwa, pia usisahau kuniwekea kipengele cha "waislamu kumtukana na kumkashifu magu kisa imani yake au utanzania wake" kama ilivyo kwa mama anakashifiwa na kuthubutu kusema arudi zanzibar kwao n.k. wakristo baadhi yenu mna tabu.Magufuli alitukanwa sana hadi kuombewa kifo ulikua hauna simu?
Magu hakua muislamMkikosolewa kidogo mnakimbilia kwenye udini.
Magu alikuwa sio "kafiri"?
Kutokuwa kafiri ndo kumemfanya awe na roho mbaya angekuwa mkristo asingefanya huu ujinga
Na wewe ukiacha kuandika mada za kipumbavu kama huu ujinga ulioandika hapa utapungukiwa nini?!Eti wakuu nimejaribu tu kuwaza. Kwani bi mkubwa akiamua tu kutokugombea na kurudi kwao kizimkazi kupumzika kwani arapungukiwa na nini maana hatuna deni nae. Chini ya uongozi wake kila kitu kinakwenda halijojo, utekaji, ubabe uhamishaji masai NGORONGORO, kubinafsisha rasilimali za nchi kama bandai n.k. Binafsi natamani itokee miujiza aahirishe kugombea mhula mwingine kidogo tupumue na hili deni la trillion 97 si tumelikubali na tutajichanga na huyo rais ajaye tulilipe ila kwa sasa inatosha mama aende, tafadhali mama tunaomba uende ulipotufikisha panatosha mwache mwingine achukue usukani
Mama Samia MITANO TENA inawezekana.#2025 bila mama inawezekana
Magufuli alifanya mangapi?! au na yeye alikuwa muislamu?!Kutokuwa kafiri ndo kumemfanya awe na roho mbaya angekuwa mkristo asingefanya huu ujinga
Aliyemtukana Magufuli na kumuombea kifo ni nani?!Tangu Kikwete aondoke madarakani waislamu tulijifunza kuwa watiifu kwa serikali iliyopo madarakani bila kujali rais wa nchi ni muumini wa dini gani!Magufuli alitukanwa sana hadi kuombewa kifo ulikua hauna simu?
Unaijua T.O.T ya hadija kopa?hivi ccm hakuna bendi ya Taarabu?
Aliyemtukana Magufuli na kumuombea kifo ni nani?!Tangu Kikwete aondoke madarakani waislamu tulijifunza kuwa watiifu kwa serikali iliyopo madarakani bila kujali rais wa nchi ni muumini wa dini gani!
Kama Magufuli alikuwa na maadui , maadui hao walikuwa watu wa dini yake anaoshiriki nao misa ndaki ya makanisa.
Hakuna kundi wala dhahebu lolote la kiislamu hapa TZ lililoonyesha upinzani wa maneno au wa vitendo dhidi ya serikali ya Magufuli.
WAPINZANI WAKUBWA WA MAGUFULI WALIKUWA WAKRISTO WENZAKE.