Ndio! na ndio maana unaona uchawa na ushabiki dhid yake ni mkubwa kuwahi kutokea tangu nchi imepata uhuru, wanajua uwezo wake na akili na wajua waende nae vip , kwanza anadanganyika korahisi hata kwa mambo mepesi na madogo hivyo wenzie wanatumia mwanya huo huo kuifilisi nchi huku wakimpigia vigeregere.
Wanabodi? Aseee maeneo nilipo Kuna mbu wengi mnoooo kiasi kwamba kama una kipara au komwe jiandae kufanana na chungu! Lkn hili swala la mbu sijui nimlalamikie serikal?