Samia unaingizwa chaka na wasaidizi wako, 2025 CCM itakuwa na kazi ngumu ya kuwashawishi wapiga kura

SOPINTO

Senior Member
Joined
Oct 19, 2020
Posts
155
Reaction score
387

Mama Samia unaingizwa chaka na wasaidizi wako, mwaka 2025 CCM itakuwa na kazi ngumu ya kuwashawishi wapiga kura. Wakina Mwigulu ni Wapambe wasaka tonge wa 2025.​

Kama kichwa cha habari kinavyosema katika kila serikali inapoingia madarakani inakuwa na watu wake yaani hao ndio chama chamani hakuna atakaesema kitu zaidi ya hao, mfano halisi katika serikali ya awamu ya kwanza walikuwepo watu ambao Mwalimu Nyerere asemi jambo bila wao kuwepo na kutoa baraka zao mfano wakina Kawawa, Macelea, vivyo hivyo awamu ya pili mzee Mwinyi nae alikuwa na jopo lake kuu la kazi, hii ni sawasawa na Mzee Mkapa nae wakina Basili Mramba hao ndio walikuwa wazee wa ndio mzee, ukiangalia kwa JK nae vivyo hivyo hata serikali ya awamu ya tano JPM alivyokuwa anawaamini wakina Profesa wa Majalalani, Polepole, Dkt. Bashiru, Mzee Kijazi pamoja na mzee wa madaraja.

Inashauriwa pia watu wa namna hii pia ukiwa kama kiongozi unatakiwa kuwa nao makini japo ni watu wako wa karibu kukurubuni , kukuingiza chaka, kufanya mabo kwa faida yao ni laisi sana kama tunakumbuka Mzee Malecela alivyomgeuka Mwalimu, Profesa alivyomuingiza chaka JPM na chanjo ya Madascar, Kikwete alivyoingizwa chaka juu ya mitambo ya kufua umeme, ndio mana nasema kila anaevaa sare ya chama sio lazima akufuate wewe 100%.

CCM ya sasa sio ile ya miaka ya nyuma , zamani tulikuwa tunajua kuwa kuna tamko moja tu likitoka basi tunajua ni tamko la chama, lakini sio sasa hivi kila anaevaa sare ya CCM anatamko lake , kulikuwa na tamko la Mwalimu , baada ya hapo kukawa na tamko la Mwinyi, kukaja Mkapa baada ya hapo matamko ya JK yakawa feki feki hayana nguvu kwamaana alikuwa anazidiwa na wapambe wake, kukaja kuwa na tamko la nguvu zaidi na la kibabe kutoka kwa JPM, sasa hivi hakuna tamko lolote lenye kuonesha njia yaani ni hovyo tupu, kilichopo sasa ni kurumbana tu, huyu anasema chanjo mwingine anasema hakuna kitu yaani ngazi ya juu inasema alafu ngazi ya chini inapinga hii ni ishara ya kuwa watu wanasafiri katika boti moja lakini mtu anakituo chake bado kivuli chenye nguvu cha hayati kinatembea.

Hivi sasa watanzania wanaendelea kulipa kodi iliyopitishwa na Bunge la serikali ya awamu ya sita, maneno ya waziri wa fedha ya kusema jua liwake, mvua inyeshe, baridi ipige hizi tozo na kodi za e -money lazima Watanzania walipe. Maneno haya yanabebwa kwa utetezi kwamba tozo hizi zitajenga Zahanati, Mashule, Barabara, kuongeza huduma ya maji na Umeme nchi nzima , jua hilo ni deni kubwa kwa Samia Suluhu ifikapo 2025 Watanzania wawataka kuona na kupata ufafanuzi juu kodi zao unazoendelea kuwakata katika mafungu yao.

Kama usipo waonesha watanzania physicali na kuonesha tofauti ya serikali ya awamu ya tano na sita utapata tabu sana 2025, watanzania wanakusubiri kwa hamu sana na ukifanya mchezo CHADEMA watapa nafasi nzuri sana ya kuseti ajenda na wakitumia nafasi hiyo vizuri mambo yanaweza kuwa mazuri sana kwao hilo ni angalizo tu kumbuka 2025 sio mbali.

Watanzania watataka kuona matumizi ya kodi za mitandao ya simu mnayokata kila siku sio kuonesha blah blah na kwa hili watanzania wapo macho sana na nawashauri vyama pinzani hii mkikaa nayo vizuri basi ni mfereji mzuri wa kubebea kura 2025.

Mpaka sasa watanzania wengi sana wamepunguza imani na mama Samia kutokana na nchi kukaa bila ishara ya kuonesha nguvu ya Rais ipo wapi, mawaziri kuwa na nguvu kuliko Rais, Mawaziri kuwa na matamko makubwa kuliko Rais hizi ni dalili mbaya sana katika uongozi uliopo sasa.
 
Kwa tume hii ya Mahera na wa aina yake, sidhani kama atahitaji kura zenu.

Sirro na wenzake wapo watamtafutia kura idadi aitakayo. Hizo mtakazopiga nyie zitakuwa vifungio vya karanga zinazotembezwa na watoto. Katiba mpya ndio dawa.
 
Tatizo watu wana tabia ya kusahau. Hayo unayoyasema yangewezekana kama nchi ingekuwa na uchaguzi. Tanzania haina uchaguzi, kinachofanyika ni kiini macho kwa ajili y jumuiya ya kimataifa kuona watu wamepanga foleni siku ya kinachoitwa uchaguzi. Lakini kura yako haifanyi chochote so hajali wala hawazii suala hilo.
 
Aliekuambia kuwa CCM huwa inategemea kura ya mtu ili kuchukua dola ni nani?
7654311.png
 
Mama Samia unaingizwa chaka na wasaidizi wako , mwaka 2025 CCM itakuwa na kazi ngumu ya kuwashawishi wapiga kura. Wakina Mwigulu ni Wapambe wasaka tonge wa 2025.​

Kama kichwa cha habari kinavyosema katika kila serikali inapoingia madarakani inakuwa na watu wake yaani hao ndio chama chamani hakuna atakaesema kitu zaidi ya hao , mfano halisi katika serikali ya awamu ya kwanza walikuwepo watu ambao Mwalimu Nyerere asemi jambo bila wao kuwepo na kutoa baraka zao mfano wakina Kawawa , Macelea , vivyo hivyo awamu ya pili mzee Mwinyi nae alikuwa na jopo lake kuu la kazi , hii ni sawasawa na Mzee Mkapa nae wakina Basili Mramba hao ndio walikuwa wazee wa ndio mzee , ukiangalia kwa JK nae vivyo hivyo hata serikali ya awamu ya tano JPM alivyokuwa anawaamini wakina Profesa wa Majalalani , Polepole , Dkt. Bashiru , Mzee Kijazi pamoja na mzee wa madaraja.

Inashauriwa pia watu wa namna hii pia ukiwa kama kiongozi unatakiwa kuwa nao makini japo ni watu wako wa karibu kukurubuni , kukuingiza chaka , kufanya mabo kwa faida yao ni laisi sana kama tunakumbuka Mzee Malecela alivyomgeuka Mwalimu , Profesa alivyomuingiza chaka JPM na chanjo ya Madascar , Kikwete alivyoingizwa chaka juu ya mitambo ya kufua umeme , ndio mana nasema kila anaevaa sare ya chama sio lazima akufuate wewe 100% .

CCM ya sasa sio ile ya miaka ya nyuma , zamani tulikuwa tunajua kuwa kuna tamko moja tu likitoka basi tunajua ni tamko la chama , lakini sio sasa hivi kila anaevaa sare ya CCM anatamko lake , kulikuwa na tamko la Mwalimu , baada ya hapo kukawa na tamko la Mwinyi , kukaja Mkapa baada ya hapo matamko ya JK yakawa feki feki hayana nguvu kwamaana alikuwa anazidiwa na wapambe wake , kukaja kuwa na tamko la nguvu zaidi na la kibabe kutoka kwa JPM , sasa hivi hakuna tamko lolote lenye kuonesha njia yaani ni hovyo tupu , kilichopo sasa ni kurumbana tu , huyu anasema chanjo mwingine anasema hakuna kitu yaani ngazi ya juu inasema alafu ngazi ya chini inapinga hii ni ishara ya kuwa watu wanasafiri katika boti moja lakini mtu anakituo chake bado kivuli chenye nguvu cha hayati kinatembea.

Hivi sasa watanzania wanaendelea kulipa kodi iliyopitishwa na Bunge la serikali ya awamu ya sita , maneno ya waziri wa fedha ya kusema jua liwake , mvua inyeshe , baridi ipige hizi tozo na kodi za e -money lazima watanzania walipe. Maneno haya yanabebwa kwa utetezi kwamba tozo hizi zitajenga Zahanati , Mashule, Barabara , kuongeza huduma ya maji na Umeme nchi nzima , jua hilo ni deni kubwa kwa Samia Suluhu ifikapo 2025 watanzania wawataka kuona na kupata ufafanuzi juu kodi zao unazoendelea kuwakata katika mafungu yao.

Kama usipo waonesha watanzania physicali na kuonesha tofauti ya serikali ya awamu ya tano na sita utapata tabu sana 2025 , watanzania wanakusubiri kwa hamu sana na ukifanya mchezo CHADEMA watapa nafasi nzuri sana ya kuseti ajenda na wakitumia nafasi hiyo vizuri mambo yanaweza kuwa mazuri sana kwao hilo ni angalizo tu kumbuka 2025 sio mbali.
Watanzania watataka kuona matumizi ya kodi za mitandao ya simu mnayokata kila siku sio kuonesha blah blah na kwa hili watanzania wapo macho sana na nawashauri vyama pinzani hii mkikaa nayo vizuri basi ni mfereji mzuri wa kubebea kura 2025.

Mpaka sasa watanzania wengi sana wamepunguza imani na mama Samia kutokana na nchi kukaa bila ishara ya kuonesha nguvu ya Rais ipo wapi , mawaziri kuwa na nguvu kuliko Rais , Mawaziri kuwa na matamko makubwa kuliko Rais hizi ni dalili mbaya sana katika uongozi uliopo sasa.
Huyo hana nafasi 2025 anarudi kwao znz kula urojo
 
2025 utatumika dola kumrudisha mama madarakani. Kwani 2020 jiwe alishinda? Si alijisimika na kulindwa na dola? Sasa mama atamuogopa nani? Mama atafia ikulu. Au akiona vipi atamwachia kiti Shaka A. Shaka.
 
Mama Samia unaingizwa chaka na wasaidizi wako, mwaka 2025 CCM itakuwa na kazi ngumu ya kuwashawishi wapiga kura. Wakina Mwigulu ni Wapambe wasaka tonge wa 2025.​

Kama kichwa cha habari kinavyosema katika kila serikali inapoingia madarakani inakuwa na watu wake yaani hao ndio chama chamani hakuna atakaesema kitu zaidi ya hao, mfano halisi katika serikali ya awamu ya kwanza walikuwepo watu ambao Mwalimu Nyerere asemi jambo bila wao kuwepo na kutoa baraka zao mfano wakina Kawawa, Macelea, vivyo hivyo awamu ya pili mzee Mwinyi nae alikuwa na jopo lake kuu la kazi, hii ni sawasawa na Mzee Mkapa nae wakina Basili Mramba hao ndio walikuwa wazee wa ndio mzee, ukiangalia kwa JK nae vivyo hivyo hata serikali ya awamu ya tano JPM alivyokuwa anawaamini wakina Profesa wa Majalalani, Polepole, Dkt. Bashiru, Mzee Kijazi pamoja na mzee wa madaraja.

Inashauriwa pia watu wa namna hii pia ukiwa kama kiongozi unatakiwa kuwa nao makini japo ni watu wako wa karibu kukurubuni , kukuingiza chaka, kufanya mabo kwa faida yao ni laisi sana kama tunakumbuka Mzee Malecela alivyomgeuka Mwalimu, Profesa alivyomuingiza chaka JPM na chanjo ya Madascar, Kikwete alivyoingizwa chaka juu ya mitambo ya kufua umeme, ndio mana nasema kila anaevaa sare ya chama sio lazima akufuate wewe 100%.

CCM ya sasa sio ile ya miaka ya nyuma , zamani tulikuwa tunajua kuwa kuna tamko moja tu likitoka basi tunajua ni tamko la chama, lakini sio sasa hivi kila anaevaa sare ya CCM anatamko lake , kulikuwa na tamko la Mwalimu , baada ya hapo kukawa na tamko la Mwinyi, kukaja Mkapa baada ya hapo matamko ya JK yakawa feki feki hayana nguvu kwamaana alikuwa anazidiwa na wapambe wake, kukaja kuwa na tamko la nguvu zaidi na la kibabe kutoka kwa JPM, sasa hivi hakuna tamko lolote lenye kuonesha njia yaani ni hovyo tupu, kilichopo sasa ni kurumbana tu, huyu anasema chanjo mwingine anasema hakuna kitu yaani ngazi ya juu inasema alafu ngazi ya chini inapinga hii ni ishara ya kuwa watu wanasafiri katika boti moja lakini mtu anakituo chake bado kivuli chenye nguvu cha hayati kinatembea.

Hivi sasa watanzania wanaendelea kulipa kodi iliyopitishwa na Bunge la serikali ya awamu ya sita, maneno ya waziri wa fedha ya kusema jua liwake, mvua inyeshe, baridi ipige hizi tozo na kodi za e -money lazima Watanzania walipe. Maneno haya yanabebwa kwa utetezi kwamba tozo hizi zitajenga Zahanati, Mashule, Barabara, kuongeza huduma ya maji na Umeme nchi nzima , jua hilo ni deni kubwa kwa Samia Suluhu ifikapo 2025 Watanzania wawataka kuona na kupata ufafanuzi juu kodi zao unazoendelea kuwakata katika mafungu yao.

Kama usipo waonesha watanzania physicali na kuonesha tofauti ya serikali ya awamu ya tano na sita utapata tabu sana 2025, watanzania wanakusubiri kwa hamu sana na ukifanya mchezo CHADEMA watapa nafasi nzuri sana ya kuseti ajenda na wakitumia nafasi hiyo vizuri mambo yanaweza kuwa mazuri sana kwao hilo ni angalizo tu kumbuka 2025 sio mbali.

Watanzania watataka kuona matumizi ya kodi za mitandao ya simu mnayokata kila siku sio kuonesha blah blah na kwa hili watanzania wapo macho sana na nawashauri vyama pinzani hii mkikaa nayo vizuri basi ni mfereji mzuri wa kubebea kura 2025.

Mpaka sasa watanzania wengi sana wamepunguza imani na mama Samia kutokana na nchi kukaa bila ishara ya kuonesha nguvu ya Rais ipo wapi, mawaziri kuwa na nguvu kuliko Rais, Mawaziri kuwa na matamko makubwa kuliko Rais hizi ni dalili mbaya sana katika uongozi uliopo sasa.
Ndugu..CCM huwa hawashindi uchaguzi wowote ule..
So huyu Mwanamke hajali anajua ataiba kura.
 
Usahaulifu au kujitoa ufahamu? Kuna uchaguzi uliowahi kuwa mgumu kwa watu wanaojua kuiba kura? And when was last time CCM ilikuwa inapendwa kindakindaki?
 
Labda atake mwenyewe mkuu, huyu anaendelea vipindi vyake viwili
Ni term moja huyo asili yke znz hawezi kua,hii term ya kwanza katiba ilimbeba mana rais kafariki...istoshe kama ingetokea jamaa kafariki 2023 sheria ni uchaguzi unafanyika upya
 
Back
Top Bottom