Samia unaingizwa chaka na wasaidizi wako, 2025 CCM itakuwa na kazi ngumu ya kuwashawishi wapiga kura

Umetoka sayari gani? Akina Mahera, Jecha, Zirro, Mutungu wa maji... watakuwa wapi? Bila katiba mpya ni bila bila tu...
 
Kwa tume hii ya Mahera na wa aina yake, sidhani kama atahitaji kura zenu.

Sirro na wenzake wapo watamtafutia kura idadi aitakayo. Hizo mtakazopiga nyie zitakuwa vifungio vya karanga zinazotembezwa na watoto. Katiba mpya ndio dawa.
Hivi Mahera alishafikishwa the Hegi?
 
Ni term moja huyo asili yke znz hawezi kua,hii term ya kwanza katiba ilimbeba mana rais kafariki...istoshe kama ingetokea jamaa kafariki 2023 sheria ni uchaguzi unafanyika upya

Labda Team Msoga wasiwepo, Ataongoza hii miaka minne ya hayati na atakuja kumalizia kipindi chake cha Pili then mtu wa mainland ndio atachukua nafasi mama akitoka
 
Labda Team Msoga wasiwepo, Ataongoza hii miaka minne ya hayati na atakuja kumalizia kipindi chake cha Pili then mtu wa mainland ndio atachukua nafasi mama akitoka
Kwa akili zake ccm asili wanamtupa mchana kweupe,wameshajua hamna mtu hapo
 
Haingizwi chaka mchezo wote anaujua vizuri. Mnamchukulia poa eeh!
 
Hayo ni mawazo yako

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kiukweli alianza vizuri, ila Sasa anaharibu, kingine mlimsakama anashauriwa na muungwana kikwete, Sasa amehamua afuate ushauri wa wapambe wa Dikteta
 
Ni term moja huyo asili yke znz hawezi kua,hii term ya kwanza katiba ilimbeba mana rais kafariki...istoshe kama ingetokea jamaa kafariki 2023 sheria ni uchaguzi unafanyika upya
matumaini hewa unajipa, pole sanaaaa
 
Chama kilipitisha sheria mwenyekiti hapingwi sasa hapo kumshawishi nani? Kura zenyewe ziko traced na usalama.

Mama kawalipa wajumbe wa nyumba kumi ,wenyeviti mishahara na posho za madiwani nk nani anaweza mpinga wakati kote huko waliotangulia walishindwa?
 
Tatizo halipo huku chini shekh kwenye kiti ndo kuna jihad war
 
Sasa wewe husikii raha CCM itoke? Yaani unaandika as if sio CCM halafu unaishauri CCM[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Kwa tume hii ya Mahera na wa aina yake, sidhani kama atahitaji kura zenu.

Sirro na wenzake wapo watamtafutia kura idadi aitakayo. Hizo mtakazopiga nyie zitakuwa vifungio vya karanga zinazotembezwa na watoto. Katiba mpya ndio dawa.
Ostichegg acha uchochezi huo, Tume ipo huru na inafanya kazi za ke kwa weredi na kwa kufuata Sheria za Uchaguzi. Uchaguzi ukufanyika kila Mgombea hupata kura zake kwa uwazi na Mshindi hutangazwa kwa uwazi na si kificho .
 
Mwenye rungu ni mwenye rungu tuu,kama walishindwa kupindua meza baada ya kifo cha mwendazake saizi watawezea wapi
Kama ilivyo wezekana kwa kwa yule mzalendo vivo hivo na kwa huyu kibaraka ccm ni mbwa wanaojitafuna wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…