Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Speaker atakuwa na makende. Siyo kama ya Ndugai ambaye anamuogopa Samia na kwenda kuomba msamaha kama mtoto ndogoHio katiba mpya itaweza kuruhusu spika kumvimbia raisi ???
Ndugai ni mtoto mdogo sna ,kwani unapingaSpeaker atakuwa na makende. Siyo kama ya Ndugai ambaye anamuogopa Samia na kwenda kuomba msamaha kama mtoto ndogo
Tuliwambia wakashupaza shingo. Leo Team Ndugai 0- katiba mpya team 10. Ndio kwanza dkk 15Bila shaka, malumbano kati ya speaker na rais Samia imeonyesha wazi kwamba, hakuna uhuru wa mihimili yetu ya uongozi. Mahakama haina uhuru wake, Bunge halina uhuru wake na Speaker pia ameonyesha udhaifu mkubwa sana kuomba msamaha pasipo na sababu ya msingi, na Rais Samia ameonyesha udhaifu wa kutokupenda kukosolewa na pia ameonyesha kwamba ana madaraka makubwa zaidi ya Ndugai.
Hakuna tena uwezo wa bunge kulisimamia serikali..... Suluhisho ni katiba mpya itakayoleta uhuru wa mihimili.
CCM nabici tupiganie katiba mpya. Hii ndio suluhisho !
Hapana bali Rais ataona umuhimu wa BungeHio katiba mpya itaweza kuruhusu spika kumvimbia raisi ???
Katelephone na kaspika watajuta kutotetea katiba boraKatiba Mpya
Mkuu Deeppond kelele za katiba mpya zitakuwa mpya kwa wanaccm. Sisi wapinzani umekuwa ni wimbo wa siku zote miaka yote tangu 1992Ni chuki zenu kwa mama Samia,
Mbona awamu ya magu hamkuona umuhimu wake?
Au magu aliifata Sana Katiba?
Huu upumbavu mmeufuga wenyewe awamu ilopita,
Sasa Tulieni dawa iwaingie.
Akili ya kushindana na beberu hii. Ndugai mdogo sababu ya katiba bovu. Trump alisema jeshi la marekani liingie kuzuia maandamano na waziri wa ulinzi alikataa kwa sababu wanakatiba nzuri. Siyo kwetu katiba bovu hata rais akimtaka mke wa mtu utakuja kusema mume wa huyo mke mtoto mdogo sana.Ndugai ni mtoto mdogo sna ,kwani unapinga
Tatizo hii ni mihimili inayotegemeana tena inaongozwa na watu kutoka chama kimoja ndo maana umeona msamaha umetokea,kwani Job hajui ikulu ilipo au hazijui namba za raisi kwamba ampigie amueleze maoni yake kuhusu mikopo mpk aende kuropoka vile mbele ya camera?Ni jambo la ajabu sana kuona Spika anamuomba radhi Rais kisa ametoa maoni yenye mtizamo tofauti na Rais.
Nawaza tu hivi Rais naye angeweza kumuomba radhi Spika kwa style hii?