GE2025 Samia: Wengine wanasema wataleta maji kwani walikuwa wapi siku zote kuleta maji?

GE2025 Samia: Wengine wanasema wataleta maji kwani walikuwa wapi siku zote kuleta maji?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Katika kampeni za Chama cha Mapinduzi (#CCM) zinazoendelea leo Septemba 24, 2025 mkoani Lindi, Mgombea Urais kupitia Chama hicho Samia Suluhu Hassan katika jimbo la Mchimba ameonekana akiwasema ahadi za vyama pinzani ni za maigizo bali za CCM ndizo za kweli na halisi.

Soma pia: Mradi wa maji uliokwama kwa miaka 11 wakamilishwa na Serikali ya Rais Samia

 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Hayo maji ccm mliyowapa watz yako wp zaid ya miaka 60 ya uhuru hivi wewe si ulikuwa singida hapa ukaahidi kumaliza tatzo la maji yaan miaka yote mliyotawala bdo mna ahidi kumaliza tatzo la maji hao mnaowananga lini wamekusanya kodi za watz hata mseme eti walikuwa wp hv si ni aibu sn eti kanda ya ziwa kuna shda ya maji seriously kbs aisee..
 
Yeye ahadi anazotoa ccm itafanya kama maji barabara na umeme alikua wapi na ccm yake kwa zaidi ya miaka 60? Aache longolongo na utapeli.
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Back
Top Bottom