Mbunge wa Muhambwe mkoani Kigoma Mhe Florence George Samizi Jana Jumamosi Agosti 28, 2021 alishiriki kama Mgeni rasmi kwenye sherehe ya Jubilee ya miaka 25 ya shule ya wasichana ya Bonoconsili Mabamba.
Y
Akiwa kwenye sherehe hiyo kama Mgeni rasmi Dkt. Samizi alizawadiwa na Askofu wa Jimbo la Kigoma zawadi ya keki huku uongozi wa shule hiyo ukimzawadia container ya shanga ya kutunzia vifaa vidogo vidogo.
#KaziInaendelea.
View attachment 1915311
View attachment 1915312
View attachment 1915313
View attachment 1915314