43 minMtanzania wa Kwanza kuifunga liverpool
Mtanzania wa Kwanza kucheza UEFA
Umesema?Kuwa na adamu ni Mheshimiwa Rais John Pombe Joseph Magufuli.
Huwezi kuvunja rekodi dhidi ya mtu mmoja tu. Rekodi inavunjwa dhidi ya ujumla, mfano dhidi ya binadamu wote kushindwa kuifunga Liverpool pale Anfield. Hapo labda useme amejiwekea rekodi, sio kuvunja rekodi ya MessiAmefunga gori uwanja mgumu wa Anfield hii ni record ambayo Messi Hajawai iweka na inawezekana Messi akastaafu bila kufunga gori uwanja wa nyumbani wa liverpool pamoja na kuwa kuja pale mara kibao.
Samatta anazidi kuonyesha kwamba ni mchezaji hatari kuwai kutokea kusini mwa jangwa la sahara
umeniwahi mkuuWatanzania bana walikuwa wanasema kijana wa mbagala hawezi kuchezea EPL
Kinachomponza samatta ni nchi tu
Asante serikali ya awamu ya tano chini ya jembe magufuli
[emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa kabisa bila wao samatta si lolote
[emoji16][emoji16][emoji16] eti messi hapaswi kutamkwa hovyoHongera yake aiseee, mimi naamini huyo dogo ataweza kwenda EPL au La Liga, hata France pia. Samatta ana uwezo mkubwa.
Ila Mkuu jifunze kuwa na heshima ktk soka, Messi hapaswi kutamkwa hovyo hovyo.
Duh! Kumbe ni dogo!!!?Hongera yake aiseee, mimi naamini huyo dogo ataweza kwenda EPL au La Liga, hata France pia. Samatta ana uwezo mkubwa.
Ila Mkuu jifunze kuwa na heshima ktk soka, Messi hapaswi kutamkwa hovyo hovyo.
Sijui umevuta ya Malawi....!!!?? kwa hiyo kama Mess hajaweka hiyo record Samatta kavunjaje Sasa....Amefunga gori uwanja mgumu wa Anfield hii ni record ambayo Messi Hajawai iweka na inawezekana Messi akastaafu bila kufunga gori uwanja wa nyumbani wa liverpool pamoja na kuwa kuja pale mara kibao.
Samatta anazidi kuonyesha kwamba ni mchezaji hatari kuwai kutokea kusini mwa jangwa la sahara
Sio Nangwanda pale..Anfield kuna ugumu gani?