Sammata aipasua ngome ya Liverpool iliyomshinda Messi

Sammata aipasua ngome ya Liverpool iliyomshinda Messi

Mtanzania wa Kwanza kuifunga liverpool
Mtanzania wa Kwanza kucheza UEFA
43 min

Terrific run and header from the corner. The Tanzania centre-forward bullets it in at the near post, beating Alexander-Arnold and Milner comprehensively in the air. A minute earlier Salah had flashed a left-foot shot wide and conceded a corner by initially drowsing during a rapid counter-attack.
 
Amefunga gori uwanja mgumu wa Anfield hii ni record ambayo Messi Hajawai iweka na inawezekana Messi akastaafu bila kufunga gori uwanja wa nyumbani wa liverpool pamoja na kuwa kuja pale mara kibao.

Samatta anazidi kuonyesha kwamba ni mchezaji hatari kuwai kutokea kusini mwa jangwa la sahara
Huwezi kuvunja rekodi dhidi ya mtu mmoja tu. Rekodi inavunjwa dhidi ya ujumla, mfano dhidi ya binadamu wote kushindwa kuifunga Liverpool pale Anfield. Hapo labda useme amejiwekea rekodi, sio kuvunja rekodi ya Messi
 
Samagoal stats
Screenshot_20191106-005703.jpeg
 
Hongera yake aiseee, mimi naamini huyo dogo ataweza kwenda EPL au La Liga, hata France pia. Samatta ana uwezo mkubwa.

Ila Mkuu jifunze kuwa na heshima ktk soka, Messi hapaswi kutamkwa hovyo hovyo.
[emoji16][emoji16][emoji16] eti messi hapaswi kutamkwa hovyo
 
Hongera yake aiseee, mimi naamini huyo dogo ataweza kwenda EPL au La Liga, hata France pia. Samatta ana uwezo mkubwa.

Ila Mkuu jifunze kuwa na heshima ktk soka, Messi hapaswi kutamkwa hovyo hovyo.
Duh! Kumbe ni dogo!!!?
 
hahah eti gori hahah.

acha ccm itawale tuu aisee.
 
Amefunga gori uwanja mgumu wa Anfield hii ni record ambayo Messi Hajawai iweka na inawezekana Messi akastaafu bila kufunga gori uwanja wa nyumbani wa liverpool pamoja na kuwa kuja pale mara kibao.

Samatta anazidi kuonyesha kwamba ni mchezaji hatari kuwai kutokea kusini mwa jangwa la sahara
Sijui umevuta ya Malawi....!!!?? kwa hiyo kama Mess hajaweka hiyo record Samatta kavunjaje Sasa....
 
acha porojo ww...kufunga kwa samatta hapo anfield ndio imekuwa habari ya mjini eeh?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16] kwanini usiseme kwamba ni mtanzania pekee kufunga goli hapo anfield..
 
Back
Top Bottom