Levels baby
JF-Expert Member
- Sep 26, 2019
- 831
- 770
Hahahahah braza unataka mitama sasaHongera Serikal ya awamu ya tano kwa goli hili
Hongera Serikal ya awamu ya tano kwa goli hili
Assad anawasumbua vichwa roho na mwili kweliUmesahau kusema ya Rais John Pombe Joseph Magufuli. Maana hata Sheikh Asad alikuwa na Serikali yake ya awamu ya 5 japo imeishia njiani kabla ya muda
[emoji23][emoji23] dah..bongo peopleHuwezi kuvunja rekodi dhidi ya mtu mmoja tu. Rekodi inavunjwa dhidi ya ujumla, mfano dhidi ya binadamu wote kushindwa kuifunga Liverpool pale Anfield. Hapo labda useme amejiwekea rekodi, sio kuvunja rekodi ya Messi
Mchawi maskini mwingine huyu !!Messi ana record zaid ya 100 ambazo samatta hatokuja kuzikaribia wacha kuvunja
Mke shikamoo nimepata wazo tuzae mtoto aje kuwa zaidi ya samata nasi tupate la kusema!,waonaje..?😜Sikujua Samatta yupo kwenye pay roll ya Magufuli. Nilifikiri analipwa na timu yake. Hawa wachezaji wa Argentina, Uk, Ujerumani na wengineo kama wa Kenya akina manyama watasema nini?
Amefunga gori uwanja mgumu wa Anfield hii ni record ambayo Messi Hajawai iweka na inawezekana Messi akastaafu bila kufunga gori uwanja wa nyumbani wa liverpool pamoja na kuwa kuja pale mara kibao.
Samatta anazidi kuonyesha kwamba ni mchezaji hatari kuwai kutokea kusini mwa jangwa la sahara
Labda to adopt halafu wewe umtunze. Mimi wajukuu watoto sina uwezo.Mke shikamoo nimepata wazo tuzae mtoto aje kuwa zaidi ya samata nasi tupate la kusema!,waonaje..?😜
Humu Kuna waganga wengi tutapata tu mtoto😂😂Labda to adopt halafu wewe umtunze. Mimi wajukuu watoto sina uwezo.
Ngoja uje utumiwe ndumba na shemeji mtu mshana jr.Humu Kuna waganga wengi tutapata tu mtoto😂😂
Tena huyohuyo ndo anatakiwa abariki tupate mtoto mmoja Safi..Ngoja uje utumiwe ndumba na shemeji mtu mshana jr.
Hapa anakuchora karibu ataanza utajikuta mh......Tena huyohuyo ndo anatakiwa abariki tupate mtoto mmoja Safi..
Ni kweli mkuu. Kama sio juhudi za serikali ya awamu ya tano ule mpira ungegonga mwamba.Duuuh.. Watu mnamasihaka kweli... Ety hongera serikaki ya awamu ya 5
Ha ha hawezi wenyewe hutumia kimvuli Sasa mi sina! Kipo sayari ya Jupiter huko..Hapa anakuchora karibu ataanza utajikuta mh......
Hahahahaaa... Sawa mkuu, Magu si ndo anapenda hivi..!!!Ni kweli mkuu. Kama sio juhudi za serikali ya awamu ya tano ule mpira ungegonga mwamba.
Mhurumie tu, Ni mwanachama wa Chama Cha MazezetaAwamu ya tano ilimsaidia kumpa hata "PASS YA ASSIST" uwanjani ya kufunga goli.