Sammata aipasua ngome ya Liverpool iliyomshinda Messi

Sammata aipasua ngome ya Liverpool iliyomshinda Messi

Itamsaidia sana, nawaza mechi hii imeonekana na watu wangapi ulimwenguni
Na maskaut wangapi kwenye ligi kubwa duniani , makocha wangapi wakubwa duniani,
 
Acheni kumlinganisha Lionel Messi "La Pulga" na Samata ...
 
Umesahau kusema ya Rais John Pombe Joseph Magufuli. Maana hata Sheikh Asad alikuwa na Serikali yake ya awamu ya 5 japo imeishia njiani kabla ya muda
Assad anawasumbua vichwa roho na mwili kweli
 
Huwezi kuvunja rekodi dhidi ya mtu mmoja tu. Rekodi inavunjwa dhidi ya ujumla, mfano dhidi ya binadamu wote kushindwa kuifunga Liverpool pale Anfield. Hapo labda useme amejiwekea rekodi, sio kuvunja rekodi ya Messi
[emoji23][emoji23] dah..bongo people
 
Sikujua Samatta yupo kwenye pay roll ya Magufuli. Nilifikiri analipwa na timu yake. Hawa wachezaji wa Argentina, Uk, Ujerumani na wengineo kama wa Kenya akina manyama watasema nini?
Mke shikamoo nimepata wazo tuzae mtoto aje kuwa zaidi ya samata nasi tupate la kusema!,waonaje..?😜
 
Anfield [emoji818]
Amefunga gori uwanja mgumu wa Anfield hii ni record ambayo Messi Hajawai iweka na inawezekana Messi akastaafu bila kufunga gori uwanja wa nyumbani wa liverpool pamoja na kuwa kuja pale mara kibao.

Samatta anazidi kuonyesha kwamba ni mchezaji hatari kuwai kutokea kusini mwa jangwa la sahara
 
Back
Top Bottom