Ng'wanapagi JF-Expert Member Joined Sep 18, 2013 Posts 9,116 Reaction score 8,652 Nov 6, 2019 #81 Wanasiasa nao hawajabaki nyuma
Masiya JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 7,602 Reaction score 7,332 Nov 6, 2019 #82 Iglesias said: Hongera yake aiseee, mimi naamini huyo dogo ataweza kwenda EPL au La Liga, hata France pia. Samatta ana uwezo mkubwa. Ila Mkuu jifunze kuwa na heshima ktk soka, Messi hapaswi kutamkwa hovyo hovyo. Click to expand... Hata mimi nisie jua mpira nililiona hili. Kupenda chetu sawa lakini tusipofuke.
Iglesias said: Hongera yake aiseee, mimi naamini huyo dogo ataweza kwenda EPL au La Liga, hata France pia. Samatta ana uwezo mkubwa. Ila Mkuu jifunze kuwa na heshima ktk soka, Messi hapaswi kutamkwa hovyo hovyo. Click to expand... Hata mimi nisie jua mpira nililiona hili. Kupenda chetu sawa lakini tusipofuke.
singsang JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 435 Reaction score 642 Nov 6, 2019 #83 [emoji16] Pohamba said: Hongera Serikal ya awamu ya tano kwa goli hili Click to expand...
Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,425 Reaction score 5,227 Nov 6, 2019 #84 Kinyungu said: Umesahau kusema ya Rais John Pombe Joseph Magufuli. Maana hata Sheikh Asad alikuwa na Serikali yake ya awamu ya 5 japo imeishia njiani kabla ya muda Click to expand... hapo umesahau kuweka Dr nyuma ya Rais
Kinyungu said: Umesahau kusema ya Rais John Pombe Joseph Magufuli. Maana hata Sheikh Asad alikuwa na Serikali yake ya awamu ya 5 japo imeishia njiani kabla ya muda Click to expand... hapo umesahau kuweka Dr nyuma ya Rais