Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Wanasiasa nao hawajabaki nyuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nisie jua mpira nililiona hili. Kupenda chetu sawa lakini tusipofuke.Hongera yake aiseee, mimi naamini huyo dogo ataweza kwenda EPL au La Liga, hata France pia. Samatta ana uwezo mkubwa.
Ila Mkuu jifunze kuwa na heshima ktk soka, Messi hapaswi kutamkwa hovyo hovyo.
Hongera Serikal ya awamu ya tano kwa goli hili
hapo umesahau kuweka Dr nyuma ya RaisUmesahau kusema ya Rais John Pombe Joseph Magufuli. Maana hata Sheikh Asad alikuwa na Serikali yake ya awamu ya 5 japo imeishia njiani kabla ya muda