Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rashford namba nyingine, ila SAMATTA angekuwa mtu wa madem , angetugonga sana, kwanza angewagonga madem wote wa diamond platinumz
Never say never, utanashati nani asiyependa?Mpaka wewe?
Never say never, utanashati nani asiyependa?
nimetumia lugha jumuishi
ha ha ha, mwambieni arudi acheze SIMBA, hao mabeberu wote lao moja tu hawatamsaidia kitu ni kweli kabisa.Mabeberu sio watu... aamembania goli la wazi kabisa.
Wewe unauza kwani?Rashford namba nyingine, ila SAMATTA angekuwa mtu wa madem , angetugonga sana, kwanza angewagonga madem wote wa diamond platinumz
Mkuu yule mwanamke alishazaa naye watoto wawili,kuoa alikuwa anathibitisha tu kwahiyo hiyo Si sababuMPIRA UPO ASEE, DOGO ANAKIPIGA, ILA TANGU AANZE MAMBO YA MAPENZI NA KUOA KIWANGI KIMESHUKA.
anatumia mda mwingi "kwenye kidonda"
Acha wivu na roho mbayaMbona licha ya kua yuko Ulaya na vijisenti bado anaonekanwa ni mshamba, typical Uswahilini boy.
Ni kweli linafahamika na yule mwanamke alikuwa anamchapa kipindi yupo TP MAZEMBE.Mkuu yule mwanamke alishazaa naye watoto wawili,kuoa alikuwa anathibitisha tu kwahiyo hiyo Si sababu
ha haaaaaaaaaaaaaaaaaRashford namba nyingine, ila SAMATTA angekuwa mtu wa madem , angetugonga sana, kwanza angewagonga madem wote wa diamond platinumz
Rashford namba nyingine, ila SAMATTA angekuwa mtu wa madem , angetugonga sana, kwanza angewagonga madem wote wa diamond platinumz
SAwa boss, angewagonga wake zenu na watoto wenu to say soSema angewagonga nyie siyo kutujumuisha na sisi wa kuwagongeni, mara nyingine uandike ukijua tunasoma na wanaume post yako.
Acha wivu na roho mbaya
Ni kweli linafahamika na yule mwanamke alikuwa anamchapa kipindi yupo TP MAZEMBE.
na anakaa kwenye hekalu lao pale kigamboni, mji mwema.
Lakini heshima kwake japo vidonda hupunguza kassi ya mpira uwanjani, maana goli moja ni saawa na kilometa 7