Sammatta apata timu Ulaya

kuna Genk mbili ambazo zinatofautishwa na herufi zinazofuata baada ya Genk,sikumbuki vema ila hiyo ya samatta aliwahi pia kucheza hazard wa chelsea

Ubelgiji Kuna Gent na Genk.
Anayoenda Samatta ipo nafasi ya tano katika ligi so sio timu ya Vilaza ni timu nzuri ambayo inaweza kumuuza zaidi.
 

Kila lakheri samatta mwakilishi wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…