inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
acha ujinga wako kuchafua watu
kama nachafua sawa,ila lengo ilikua ni kufikisha taarifa kwa muhusika aachane na huyo bibie ili atimize ndoto zake sababu namba zake sina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha ujinga wako kuchafua watu
kuna Genk mbili ambazo zinatofautishwa na herufi zinazofuata baada ya Genk,sikumbuki vema ila hiyo ya samatta aliwahi pia kucheza hazard wa chelsea
Samattaapata timu Ulaya (dimba)
Mshambuliaji wa kimataifa waTanzaniaanayekipiga katika klabu yaTP Mazembeya Jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo, Mbwana Samattaamethibitisha kupata timu ya kwenda kucheza soka Ulaya na kuwa mipango yake inaenda vizuri?
Siwezi kusema mengi, kilichopo ni kuwa mipango inaendelea na kwa jinsi mambo yanavyokwenda sina wasiwasi wa kwenda Ulaya kusaka ulaji mpya, kilichobaki ni kuomba uhai?.
Mkuu ni ranking na si lanking doh!!
kama nachafua sawa,ila lengo ilikua ni kufikisha taarifa kwa muhusika aachane na huyo bibie ili atimize ndoto zake sababu namba zake sina