lord atkin
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 205
- 769
Wakati kukiwa na Sintofahamu kuhusu hatima ya series ya vichekesho ya Umbambamba inayoandaliwa na kundi la Mkojani Gani, mmoja mwa waigizaji wakuu wa tamthilia ya Umbambamba aitwaye Samofi ametangaza kujitoa kwenye kundi hilo.
Akizungumza na kipindi cha Refresh cha Wasafi TV, Samofi ametaja sababu ya kujitoa kuwa ni kutokana na maslahi huku sababu nyingine ikiwa ni Mkojani ambaye ni kiongozi wa kundi hilo kujihusisha na tabia za kishirikina.
Hii inakuja ikiwa ni siku chache toka waigizaji wengine mambwende na chumvi nyingi kujitoa kwenye kundi hilo pia.
Source: Wasafi media