Sampuli ya mkojo wa Agness Masogange wakutwa na Heroin

Hii sasa ishakuwa tatizo. Kila jambo mkojo!
 
Baada ya kamata kamata, sasa ni pima pima mikojo.

Ipo siku watanzania tutaaambiwa tupimwe mikojo yetu.

Hapo nitampa mkojo wa ng'ombe niliyemlisha tumbaku nione utalaamu wao ulivyo
 
Shahidi kutoka ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Elias Mulima amesema sampuli ya mkojo wa msanii Agnes Gerald ‘Masogange’ anayetuhumiwa kujihusisha na dawa za kulevya ulikutwa na heroin
 
!
!
Mkojo umekutwa na heroine au umekutwa na kemikali ambazo zinafanana na kemikali za heroine. Anyway, hakuunywa kweli huyo Mkemia mkuu hata kidogo kujua kuwa ni mkojo kweli? Nauliza tu
 
Kwani mkojo ukiwa heroine ndo kosa kisheria upuuzi huu ndo maana kila siku hizi kesi wanashindwa.......hivi kwenye mkojo wa mla mirungi watakuta nini pk au ....najiuliza tu
 
Bwana Hole afikirie kumchukua na huyu! Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…