Sampuli ya mkojo wa Agness Masogange wakutwa na Heroin

Sampuli ya mkojo wa Agness Masogange wakutwa na Heroin

Hii sasa ishakuwa tatizo. Kila jambo mkojo!
 
Baada ya kamata kamata, sasa ni pima pima mikojo.

Ipo siku watanzania tutaaambiwa tupimwe mikojo yetu.

Hapo nitampa mkojo wa ng'ombe niliyemlisha tumbaku nione utalaamu wao ulivyo
 
Shahidi kutoka ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Elias Mulima amesema sampuli ya mkojo wa msanii Agnes Gerald ‘Masogange’ anayetuhumiwa kujihusisha na dawa za kulevya ulikutwa na heroin
msogange.jpg
 
Kwani mkojo ukiwa heroine ndo kosa kisheria upuuzi huu ndo maana kila siku hizi kesi wanashindwa.......hivi kwenye mkojo wa mla mirungi watakuta nini pk au ....najiuliza tu
 
Bwana Hole afikirie kumchukua na huyu! Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu...
 
Back
Top Bottom