Kama tumerogwa vile [emoji23][emoji23] kwani mkojo wake kukutwa na heroin kunawapa nguvu ya kumfanya nini?Chid alikamatwa na kete,kigae na sindano na yuko kitaa anadunda naona tunawapa watendaji wa serikali majukumu ya kibwege huo muda wa kupima mkojo mkemia angefanya yaliyo na tija kwa Taifa na mahakama wangetumia huo muda ku-deal na kesi za msingi maana uyo Masogange mwisho wa siku atakua mtaani na utakua mwisho wa igizo.