Sampuli ya mkojo wa Agness Masogange wakutwa na Heroin

Sampuli ya mkojo wa Agness Masogange wakutwa na Heroin

Dahhhh hapa ndo tutaona kama kweli sheria za tanzania ni za haki
 
Kama tumerogwa vile [emoji23][emoji23] kwani mkojo wake kukutwa na heroin kunawapa nguvu ya kumfanya nini?Chid alikamatwa na kete,kigae na sindano na yuko kitaa anadunda naona tunawapa watendaji wa serikali majukumu ya kibwege huo muda wa kupima mkojo mkemia angefanya yaliyo na tija kwa Taifa na mahakama wangetumia huo muda ku-deal na kesi za msingi maana uyo Masogange mwisho wa siku atakua mtaani na utakua mwisho wa igizo.
 
Ujinga tu! Waanzishe na kiwanda cha kupima mikojo maana ishakuwa dili mjini
 
hahahaha mwendo wa kojo tu siku hizi,
ukikamatwa supp tunapima kojo,
ukileta uchochezi tunapima kojo,
 
Mi sioni big deal hapo. Watu wanavuta cocaine na Heroine kila siku na wala sio habari mpya. Wao waseme tu wameshindwa kuwakamata wauza unga
 
Back
Top Bottom