Sampuli ya mkojo wa Agness Masogange wakutwa na Heroin

Sampuli ya mkojo wa Agness Masogange wakutwa na Heroin

Tunasubiri majibu toka ACACIA kama wamekubali kulipa matrilioni yetu hizi zinginezo drama tu.
 
Kutumia dawa za kulevya sio kosa, kosa kuuza. Wangesema wamekuta ndani kwake sawa
 
Hivi huwa wanapataje mkojo wanapelekewa au wanakinga?kama wanakinga wakati warembo hao wanakojoa mniunganishe wanipe hiyo kazi.
 
Mkemia mkuu amekuwa mpima Mikojo duh kweli nchi ya vi-wonder!
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
Hilo ni danga la Bashite..
Huwa anamkimbia Wife home anaenda kwa hili poozeo lake amelipangia Makongo..
Vita hewa ya Bashite ya madawa ya kulevya..
Kumbe danga lako teja..
Shame..!! cc cocochanel W. J. Malecela
 
_20170802_180719.JPG

Mahakama ndo yenye maamuzi ya kupokea au lah!
Lissu alikua sahihi kugoma kupimwa mkojo

May Allah bless Me and You
 
Just to balance a story kuonyesha hakuna 'uonevu' kwa 'Madam'
 
Mkemia ameacha kazi za maana kupima sampuli mbaya kwenye vyakula sasa anahamgaika na mikojo.....kweli awamu ya Vi wonder!! Sawa tuendelee tutafika tu!!! Wema hana heroine Bibi ya Bashite ana mi cocaine....sasa si kashfa kwa mwana mfalme?? Ameshindwa kuweka mikojo yake?? Kazi kweli kweli......Mzee wa misifa action....kama msaniiii!! Saidia mamiee sasa kumbe teja unalo ndani mwako! Kikulacho......
 
Back
Top Bottom