The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,508
- 3,136
Unalinganisha muandishi wa habari, mtu ambaye kazi yake aliyoichagua mwenyewe inamtaka atoke nje na mtu wa kawaida ambaye hajachagua kazi hiyo?Anaandika Mwandishi nguli wa habari kutokea EATV bwana Samson Charles
"Kwanini wanahabari (eti mnasema) tulionekana waoga?
NA SAMSON CHARLES
UZOEFU WA TASNIA YA HABARI MIAKA 15.
Jibu ni rahisi sana.
- Je, wewe ulipoambiwa mwisho wa kuonekana nje ni Jumatano saa 12 kamili jioni ulionekana?
-. Je, ulipoambiwa mwisho wa kufungua duka saa 4 asubuhi halafu ufunge je uliendelea kufungua?
- Bodaboda walipoambiwa "hakuna kufika mjini mwisho huko huko mitaani " ,je walienda mjini?
- Ulipoambiwa "tembea na kitambulisho" je ulitembea bila kutambulisho?
- Kuna muda uliambiwa "kaa ndani usitoe hata pua nje ", je ulitoa pua yako nje?
Sasa kama wewe uliweza kutekeleza agizo, vipi kuhusu sisi wanahabari?😒
UTANIULIZA SWALI ,.JE MEDIA MLIPEWA MAAGIZO? MLIBANWA (Mimi hilo swali sijibu, nakuachia wewe maana najua una D2)
Je mnajua kwamba tunaripoti kwa mujibu wa mamlaka? Au mlitaka sisi twende front then mida hii mseme "Sam alikua shujaa sana " halafu?
Si mlisikia tetesi sijui kuna raia wa kigeni wanapita huko wanamiminia watu njugu? So mlitaka mi bila bullet proof nitoke nje na kitambi changu kweli? Mbona wewe ulilala ndani ? Halafu baada ya miezi 9 tukija kukagua tukakuta umezaa/umezalisha itabidi utuambie ulikua unafanya nini wakati nchi ipo kwenye tense.
Issue ni kwamba kabla hujachagua kulaumu, fikiri twice as much kisha laumu.
Pia nikuulize swali lisilo la kizushi, Hivi wewe hii leo ushawahi kwenda kumsalimia mke wa AZORY GWANDA? Je unajua Mwanahabari AZORY GWANDA ambaye hajulikani alipo familia yake inaendeleaje?
Je watoto wa AZORY GWANDA wakija kukuomba ada na kodi ya nyumba utawalipia?
Pichani ni Marehemu DAUDI MWANGOSI ,.mwanahbari wa zamani wq channel Ten aliyefariki dunia September 2 mwaka 2012, sitaki kusema mengi ila apumzike kwa amani.
UJUMBE: Yanga hii unaifungaje?"
View attachment 3497572
Kachanganyikiwa huyoUnalinganisha muandiahi wa habari, mtu ambaye kazi yake aliyoichagua mwenyewe inamtaka atoke nje na mtu wa kawaida ambaye hajachagua kazi hiyo?
Wewe nawe ni muandishi wa habari?
Hujui hata kanuni ya kulinganisha kwamba unatakiwa kulinganisha vinavyolinganishika?
Unajua hata kufanya hwsabu za ceoss multiplication?
Unajua hata kwenye ndondi hutakiwi kupiganisha watu wenye uzito tofauti?
Wanahabari wenyewe wanahitaji ukombozi wamebanwa sana sana nafuu yao ni hizi harakati za kudai haki na uhuru wa habari na mawasiliano.Anaandika Mwandishi nguli wa habari kutokea EATV bwana Samson Charles
"Kwanini wanahabari (eti mnasema) tulionekana waoga?
NA SAMSON CHARLES
UZOEFU WA TASNIA YA HABARI MIAKA 15.
Jibu ni rahisi sana.
- Je, wewe ulipoambiwa mwisho wa kuonekana nje ni Jumatano saa 12 kamili jioni ulionekana?
-. Je, ulipoambiwa mwisho wa kufungua duka saa 4 asubuhi halafu ufunge je uliendelea kufungua?
- Bodaboda walipoambiwa "hakuna kufika mjini mwisho huko huko mitaani " ,je walienda mjini?
- Ulipoambiwa "tembea na kitambulisho" je ulitembea bila kutambulisho?
- Kuna muda uliambiwa "kaa ndani usitoe hata pua nje ", je ulitoa pua yako nje?
Sasa kama wewe uliweza kutekeleza agizo, vipi kuhusu sisi wanahabari?😒
UTANIULIZA SWALI ,.JE MEDIA MLIPEWA MAAGIZO? MLIBANWA (Mimi hilo swali sijibu, nakuachia wewe maana najua una D2)
Je mnajua kwamba tunaripoti kwa mujibu wa mamlaka? Au mlitaka sisi twende front then mida hii mseme "Sam alikua shujaa sana " halafu?
Si mlisikia tetesi sijui kuna raia wa kigeni wanapita huko wanamiminia watu njugu? So mlitaka mi bila bullet proof nitoke nje na kitambi changu kweli? Mbona wewe ulilala ndani ? Halafu baada ya miezi 9 tukija kukagua tukakuta umezaa/umezalisha itabidi utuambie ulikua unafanya nini wakati nchi ipo kwenye tense.
Issue ni kwamba kabla hujachagua kulaumu, fikiri twice as much kisha laumu.
Pia nikuulize swali lisilo la kizushi, Hivi wewe hii leo ushawahi kwenda kumsalimia mke wa AZORY GWANDA? Je unajua Mwanahabari AZORY GWANDA ambaye hajulikani alipo familia yake inaendeleaje?
Je watoto wa AZORY GWANDA wakija kukuomba ada na kodi ya nyumba utawalipia?
Pichani ni Marehemu DAUDI MWANGOSI ,.mwanahbari wa zamani wq channel Ten aliyefariki dunia September 2 mwaka 2012, sitaki kusema mengi ila apumzike kwa amani.
UJUMBE: Yanga hii unaifungaje?"
View attachment 3497572
Solution sio katiba mpya, katiba ya sasa hairuhusu vyombo vya habari kubanwa, hairuhusu watu kutekwa na kuuliwa. Kwa nini hayo yote yanatokea?Katika wanahabari makini na wanasimama na wananchi mmoja wapo ni SAMSON CHARLES ,jamaa hana deni ,hatumdai.....Kupitia kipindi chake cha EATV saa moja alikuwa anaonyesha hali ilivyokuwa kipindi cha lockdown.
Ameuliza maswali ya Msingi ,vyombo vya habari TZ vinabanwa sana SIMU NYINGI mno ,ukikahidi unakula BAN...Solution ya vitu vyote hivyo ni katiba MPYA.
TCRA na taasisi zinazofanana na hizo zisiongozwe kisiasa ziwe HURU...yaani waziri anapiga simu TCRA ili chombo flani kifungiwe kisa kureport habari za maandamano.
Nyerere alisema kwa katiba hii tuliyonayo akitokea kiongozi mwehu ataweza kuumiza wananchi.Solution sio katiba mpya, katiba ya sasa hairuhusu vyombo vya habari kubanwa, hairuhusu watu kutekwa na kuuliwa. Kwa nini hayo yote yanatokea?
Katiba mpya unayosema nayo ilivunjwa mtafanya kitu gani? Bado hamjajua tatizo lipo wapi?
Nimejiuliza kama ulivyomjibu mkuu.Unalinganisha muandiahi wa habari, mtu ambaye kazi yake aliyoichagua mwenyewe inamtaka atoke nje na mtu wa kawaida ambaye hajachagua kazi hiyo?
Wewe nawe ni muandishi wa habari?
Hujui hata kanuni ya kulinganisha kwamba unatakiwa kulinganisha vinavyolinganishika?
Unajua hata kufanya hwsabu za ceoss multiplication?
Unajua hata kwenye ndondi hutakiwi kupiganisha watu wenye uzito tofauti?
Shida sio sababu kuna mtu anawateua. Ni nani anawateua viongozi wa upinzani? Mbona bado wanafuata yote yanayotakiwa na serikaliNyerere alisema kwa katiba hii tuliyonayo akitokea kiongozi mwehu ataweza kuumiza wananchi.
kwahiyo katiba hii ina loopholes nyingi sana ,Gwajima alishauri mambo kadhaa kukomesha huo ufilauni wa kuteka watu ,Gwajima aliongea kwa codes kwamba viongozi wa vyombo vya DOLA ni MAJOKA YA KIBISA ,wapo wapo tu hawalindwi na katiba hivyo wanafuata maelekezo ya Boss wao aliyewateua.
Sasa kama unasema katiba hawafuati ,sasa mbona hakuna raisi aliyeongoza mihula mitatu? Mbona JPM alivyofariki Makamu wake akaapihwa? Si walifuata katiba hiyo hiyo pamoja na mapungufu yake? Katika itamke wazi bila kuwa na kipengele cha kutoa mwanya kama sheria ya ndoa ilivyo na loopholes.Shida sio sababu kuna mtu anawateua. Ni nani anawateua viongozi wa upinzani? Mbona bado wanafuata yote yanayotakiwa na serikali
Katiba mpya sio solution. Tutarudi palepale tulipo sasa na haitasaidia kitu.
Hata ije katiba ipi, Kama bado ccm ipo hai bado yatarudi yaleyale ya kila siku
Mwisho, hiyo katiba mpya unayoiota hakuna wa kukupa. Itakua na jina mpya lakini itakua mbovu kuliko iliyopo
Katiba wanaifuata pale inapowafavor wao tu. Hili bado hujalifahamu? Pale ambapo hakuna favor yao kwenye katiba ndio huamua kuivunja kabisaSasa kama unasema katiba hawafuati ,sasa mbona hakuna raisi aliyeongoza mihula mitatu? Mbona JPM alivyofariki Makamu wake akaapihwa? Si walifuata katiba hiyo hiyo pamoja na mapungufu yake? Katika itamke wazi bila kuwa na kipengele cha kutoa mwanya kama sheria ya ndoa ilivyo na loopholes.
Katiba hii iliyopo ina mapungufu mengi sana ndiyo maana Nyerere alisema akitokea MWEHU anaweza akaumiza wananchi ,wewe unaona hawaitekelezi kwasababu ina Loopholes nyingi ambazo WEHU wanatumia lakni wakizondoa na kuwa straight hakuna KENGE atakayevunja.
Katiba inasema rais ana viti 10 bungeni ,ulishawahi kusikia rais aliteua 11? Why? kwasababu ipo straight.haina loopholes.
Si kweli ,mbona Katelephone alitaka apindue meza lakini ilishindikana? Hivi kwani rais hataki viti zaidi ya 10 kuwapa ulaji watu wake? Kwanini katiba ya warioba ilikuwa inataka wabunge wachache 75 tu na vyeo vya kisiasa voyte viondolewe? Na kwanini walikuwa wanaogopa kuipitisha?Katiba wanaifuata pale inapowafavor wao tu. Hili bado hujalifahamu? Pale ambapo hakuna favor yao kwenye katiba ndio huamua kuivunja kabisa
Kaka kiranga nakusalimia..yaliyo fanyika Huku ni crime against humanity.Unalinganisha muandishi wa habari, mtu ambaye kazi yake aliyoichagua mwenyewe inamtaka atoke nje na mtu wa kawaida ambaye hajachagua kazi hiyo?
Wewe nawe ni muandishi wa habari?
Hujui hata kanuni ya kulinganisha kwamba unatakiwa kulinganisha vinavyolinganishika?
Unajua hata kufanya hwsabu za ceoss multiplication?
Unajua hata kwenye ndondi hutakiwi kupiganisha watu wenye uzito tofauti?
Tunapitia kipindi kigumu sana na kuna watu bado hawajaelewa ukubwa wa kilichotokea.Kaka kiranga nakusalimia..yaliyo fanyika Huku ni crime against humanity.
Inahuzunisha na kushangaza na mamlaka zipo kimya
Sijui hata unazungumza kitu gani ,hivi kuna rais ambaye hapendi kuongoza hata miaka 30? Kwanini kwetu ni miaka 10 tu? Sababu ipo kwenye katiba hata kama anapenda kwa katiba hii hawezi na ndiyo maana kipindi cha MAGU wabunge chawa walikuwa wanapiga chapuo katiba ibadilishwe aongoze kwa miaka 7 means angeendelea wangabadili ili iwe term 7 maana yake 2025 angeanza upya ya term miaka 7 ,unafikiri kwanini wlishindwwa kwa katiba hii mpaka wakawa wanapiga chapuo? Katiba hii inamapungufu lakini kwenye vile vitu ambavyo vipo straight hawawezi kuenda kinyume...ukiona wewe kama kaenda kinyume basi kuna loophole(mianya mapungufu) wametumia kutekeleza.Pale ambapo hakuna favor yao kwenye katiba ndio huamua kuivunja kabisa
Kama hutaki kjfa kazini usichague kazi ya uandishi wa habari.Yuko sahihi kwa alichoandika. Waandishi wa habari wameuwawa na kutweka mara kadhaa, sisi kama raia tumechukua hatua gani?
Wao wafe tu, sisi tulale ndani sasa maana yake nini. Kule Gaza waandishi wa habari wa Kipalestina wameuwawa sana, sambamba na raia. Sio huku raia anasukuma mbele journalist.
Mkuu sawa tufanye angetoka , swali kwako je angetumia njia gani kuonesha Watanzania yanayoendelea ikiwaKama hutaki kjfa kazini usichague kazi ya uandishi wa habari.
Unachagua uanajeshi halafu unaogopa kufa vitani?
Kwani wapi nimesema angetoka?Mkuu sawa tufanye angetoka , swali kwako je angetumia njia gani kuonesha Watanzania yanayoendelea ikiwa
1. internet ikiwa imezimwa
2.IPP media wamezuiwa na mamlaka kuto kutoa taarifa yoyote.