Samson Kipepe afariki dunia


Duh!
Ama kweli msibani wakati mwingine kuna vijimambo!
Wewe kweli DIKTETA!
SASA HILO JINA KAMA KWELI UMEJIUNGA HAPA KUTOA MCHANGO WAKO WA KIMAWAZO KWA TAIFA UTASIKILIZWA KWELI?

Anyways R.I.P Kipepe.
 
Mkuu Wangu Mtanzania,

Heshima mbele mkuu, si unayaona haya mkuu nilikuambia kuwa huko Kyela una kazi kubwa sana ya kusafisha uozo, maana sasa hawajifichi tena,

Mungu Amuweke Pema Marehemu!
 


Whaaat? Hiii nilikuwa sijaiona hii, mkuu umeshikwa pabaya nini? Kwani ni wewe unayesemwa kuwa ni kijifisadi unayerukia wakubwa umefukuzwa kwa mama Kilango sasa umehamia kwa Mwakyembe kwani ni wewe unayesemwa hapa? Kwani wewe ambaye hufanyi kazi ila kuishi kwa utapeli?

Eti mimi falasi, na wewe unakuwa nini ndama kazi kunyonya tu huku ukikwepa kazi na kuvaa masuti makubwa na briefcase kumbe uhuni mtupu? I wish mkuu ungejua jinsi watu wanaokujua wanavyocheka yaani huwa kwao ni Ze comedy, Falasi bwana! Falaaaaasi!

Pili pili ya shamba imekukutaje mkuu na wewe huili? Wallahi I Love JF, anyways Mungu amuweke pema peponi marehemu!
 
R.I.P Samson Kipepe. You may be gone but your soul lives forever, Amen.
 
Mzee ukisema saa 1.30 asubuhi kwa saa za hapa Marekani ni nafuu usingeandika tu hiyo sentensi au ungetupa zone zaidi ya hapo haitusaidii kitu hiyo sana sana unatuambia uko Marekani.
Isiwe tabu mkuu,kama shida yako ni kujua zone,basi ni kwa saa za mashariki(7.30.ET).Niwie radhi kwa usumbufu ulioupata, maana nia yangu ilikuwa ni kuomboleza na ndio maana sikuzingatia vitu vidogo kama hivyo.
Kaaazi kweli kweli!!!
 

Dikteta karibu kwenye ukumbi wa demokrasi. Sijui ulikunywa pombe gani kabla ya kuandika hivi, ila napenda kukuomba kuwa pamoja kuwa wewe ni dikteta, jitahidi uachane na maneno ya namna hii hapa ukumbini. Jitahidi kusahahu madaraka yako ya kidikteta uwe mstaarabu kidogo.

RIP Kipepe
 
Mungu ailaze roho ya Marehemu pema peponi.
Raha ya Milele umpe ee Bwana
Na Mwanga wa milele umuangazie
Astarehe kwa amani..
Amina.
 
Sote hapa tunaomboleza Samsom Kipepe tuliyemjua vizuri tu
Mambo ya siasa (hata kama alikua CCM) yanini na kutukanana???
Kipepe alikua poa sana Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
Pole kwa familia na wote wanaohusika.Tunawatakia safari njema kwenda Kyela leo, Mungu awatangulie.
 
He is a good leader with a clear sense of direction, Mungu amlaze mahala pema peponi aminah
 
He was a good leader , humble,courage and forsighted with a clear sense of direction,Mungu amlaze mahala pema peponi AMINA
 
Kipepe tangulia, sote twaja huko. RIP
 


Haya ni makubwa sana maana madogo yana nafuu, lakini Mungu amlaze pema marehemu!
 
Mwe!! Nimepata taarifa hizi kwa masikitiko makubwa! Poleni wafiwa na ndugu na jamaa.

I personally knew him too, we went to the same church and he was very active in church as well. Alikuwa mhamasishaji mzuri sana.

R.I.P
 
Mkuu Wangu Mtanzania,

Heshima mbele mkuu, si unayaona haya mkuu nilikuambia kuwa huko Kyela una kazi kubwa sana ya kusafisha uozo, maana sasa hawajifichi tena,

Mungu Amuweke Pema Marehemu!

Mkuu FMES,

Ndio naiona hii leo, nimecheka sana. Kule kwetu hata kwenye misiba kuna utani, vicheko hasa baada ya watu kubugia komoni, ulanzi na kangara.


Ujumbe umefika mkuu, tuendelee kuomboleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…