Samsung 12 ni kiboko

Ok naomba nitajie simu yenye bei zaidi Duniani...na hiyo ndio yenye thamani.
Umeuliza kwa upana, nami nitajibu kwa mapana...

Falcon Supernova iPhone 6 Pink Diamond - $48.5 million...


Hii kwa nini ina thamani hio????
Sio sababu ni bora, ni materials zilizotumima kui nakshi,

Umeona sasa????
Kumbe unajua thamani HALISI ya kitu ipo sokoni, na sokoni nako inapewa thamani kutokana na materials, ubora n.k

Sasa ilikuaje ukasema simu hii akitumia tajiri ni takataka akitumia maskini ni high class?
Ukienda dukani price tag za simu zinaandikwa kutokana na maskini na tajiri???
 
1. Simu ina Helio p35 kama Tekino. 12nm mwaka 2021 wakati watu wapo kwenyw 5nm.

2. Simu camera yake mwisho wa kurecord video ni 1080p 30fps

3. LTE category 4 kama tekino simu hata halina speed ya internet.

4. Poor display quality

5. Plastic frame

Hapo hamna simu mzee. Siku ukishika simu nzuri ya Samsung njoo tena.
 
Kiufupi mpaka nasema haya nimeona simu nyingi za Samsung ambazo zinauzwa bei kubwa Zaidi ya laki 5 na nyingine chini ya hapo lakini camera na uweza wake wa kutunza chaji ni HOPELESS... Kwa hii Samsung na class zetu za kitz bhasi its best ila wale wa level za MACHO MATATU safari njema hapa hapawahusu...
 
Ila alisema kwa sisi watu wa chini
 
kweli mkuu labda wewe level zako ni S10 ndo maana unaleta tambo zako hapaaaa… low end unazijua wewe
Low end ni pamoja na hiyo unayoisifia hapa. Siku ukishika premium device utakuja kufuta ulichoandika hapa.
 
kweli ni low end mkuu hata me nakubali. Ilaa kwa wale wenye laki 350 mpaka 400k kina kabwela ni HIGH END PHONE.
Low end ni pamoja na hiyo unayoisifia hapa. Siku ukishika premium device utakuja kufuta ulichoandika hapa
 
Duu mtu kani Direct mwenyewe niongelee thamani sokoni.

Alafu thamani si mada iliyopo mezani...suala ni ubora wa simu kulingana na bei
Sasa ilikuaje ukasema simu hii akitumia tajiri ni takataka akitumia maskini ni high class?
Ukienda dukani price tag za simu zinaandikwa kutokana na maskini na tajiri???
 
Unajisifia nini simu ilishuka charge mpaka 40 ukaiboostboost mpaka 60. Hiyo simu ni takataka bro.

Mimi simu yangu ni 4000mAh ila charge inakaa siku mbili complete tena huwa sizimi data

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unajisifia nini simu ilishuka charge mpaka 40 ukaiboostboost mpaka 60. Hiyo simu ni takataka bro.

Mimi simu yangu ni 4000mAh ila charge inakaa siku mbili complete tena huwa sizimi data
Wewe siwezi nikajibishana na wewe mkuu,
Sijui hata unaandika nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…